arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Tutakachowafanya wale mabwana wadogo Jumamosi watqenda kusimulia...tunapenda watu wanaofunguka na kukimbia ndo tucheze nao maana spaces zinakuwepo za kutosha....Najua hiyo game Emery na Martinez watajitutumua +form, motivational ya kumfunga City na home ground advantage vs terta ball bila kujali matokeo mechi itakua nzuri, naamn tutaenjoy pira la kukimbizana. Kucheza na watu wakupaki basi mechi inapoa sana. Hii mechi tukipata ata sare sio mbaya tukishinda tutakua tumetisha sana