Liver alipambana na kipara mpaka pumzi ya mwisho, mechi ya mwisho ndio ikaamua mshindi tena kwa tofauti ya point 1.
Nyie Arsenyau mliongoza ligi kwa siku 258, zimebaki mechi 8 ligi kuisha nyie mlikua mbele kwa points 8 dhidi ya City, mechi 1 kabla ligi haijaisha Arsenyau yuko nyuma kwa points 8 dhidi ya City.
Halafu shabiki la Nyau linatembea kifua mbele na kuwacheka liverpool na kutamba kua "sisi sio kama nyie kipara alikua anawageuza anavyotaka" sasa hapo kipara alikua anamgeuza nani anavyotaka?
View attachment 2836286