Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Ameamka amekaaTen hag Jana kaamka, so kazi kwenu[emoji23][emoji1787]
Anatambaa anakimbia
We mlete
Ameamka amekaaTen hag Jana kaamka, so kazi kwenu[emoji23][emoji1787]
Ila saint una sumbua😂🤣🤣Ameamka amekaa
Anatambaa anakimbia
We mlete
Unajua lini mlichukua EPL lakini?[emoji1787]Mwaka huu tumejipanga
Nataka points 6 kutoka kwako
Hamna kitu pale. Bora adui zetu Spurs wanatisha.Naona United pia kaamka mkuu MalcolM XII ,tusimchukulie poa kabisa
Mimi sisumbuiIla saint una sumbua😂🤣🤣
Oneni mwenzenu hapo juu anasubiria utd amfunge liver 😂Mwaka huu tumejipanga
Nataka points 6 kutoka kwako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oneni mwenzenu hapo juu anasubiria utd amfunge liver [emoji23]
Muwe mnawafundisha mpira wenzenu[emoji1787]
Kuna fan wa aseno wanatutia aibu sana😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumbu anakuja kukuvuta mkiaKuna fan wa aseno wanatutia aibu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie pambanenni kivyenu
Lakini eti Kuna mtu anategemea nyumbu imvushe dhidi ya ushindani wa Liverpool
Akiyanani maajabu hayaishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika wachezaji ambao tusiombe waumie mmoja wapo ni Rice.. Hii mashine ikiumia tutateseka sana!
[emoji1][emoji1]Kaka sisi tujali usafiri wetu kwanza, haoa wengine watavagaa kisiki tu[emoji1][emoji1]
Nakumbuka saga la usajiri wa partey, mashabiki walikua wanauliza Kwan ni Bei gani imepungua watu tutumeKaka kwa upendo huu, tuna omba ujazilizie zilizo pungua[emoji1787][emoji23]
Well said mkuuKuelekea mechi na Astonvilla
Astonvilla hataweza kubishana na Arsenal kwenye umiliki wa mpira
Wanajaza viungo wengi kuwin 50/50 na kufanya transition
Wanacheza 4-4-2 isiyo na mawinga asilia ,wanamtumia MaGinn na Zaniolo au Tielemans Kama mawinga ,Kati Yupo kamara na Luiz ,so Wana viungo wanne ,
Tunaendaje na tutarajie Nini ?
Tunahitaji viungo wakufika Sana na kupora mipira iwe ya chini au hewani,
Kai- Rice -odegaard na Jesus tunawahitaji kuanza sababu wanaweza purukushani,
MARTINELL na Saka wataleta shida hivo lazima MacGinn na Tielemans watakuwa wanarudi nyuma kusaidia kuwakaba
Hapo Sasa ndipo tutahitaji huduma ya Ødegaard ambaye anatokea chini kusambaza mipira mingi kwenye half space
Kai ,Jesus na Rice kazi Yao kuwin 50/50 na kusonga mbele
Kwni nyinyi mmetufunga lini mara ya mwsho....mwaka jana si mlituchangia point 4 kwny lile kapu letu🤠🤠🤠...mwaka huu mtatupa sita kabisaUnajua lini mlichukua EPL lakini?[emoji1787]
Unajua lini ulimfunga liver?
Yaani aseno bana ni wazee wa matumaini hewa
Tatizo raya anazinguaMzee bado unamuwaza Martinez ?