Kuhusu Rice inabidi westham tuwaongezee pesa kidogo
Kwa kweli wanastahili hizo stahiki zaoZipo kwenye adds on
Aston Villa atapigwa Kama walivyopigwa wenzake, Ila game itakua tough Sana hiiA win against Aston Villa this weekend will bring us a lot of respect in these streets.
![]()
Unaongelea watu ambao tumekuwa tukiwadunda mara kwa mara....kuwafunga tena haitakuwa jambo la ajabu....na wala haitaleta heshima yyte sanasana utaambiwa bdo mna mechi Anfield ngojeni mtakuja🤠🤠🤠A win against Aston Villa this weekend will bring us a lot of respect in these streets.
![]()
Unaongelea watu ambao tumekuwa tukiwadunda mara kwa mara....kuwafunga tena haitakuwa jambo la ajabu....na wala haitaleta heshima yyte sanasana utaambiwa bdo mna mechi Anfield ngojeni mtakuja![]()



Nadhani makosa ya raya ndio yamefanya gemu ionekane ngumu, ile ilikuwa ni game ya 3-1 hivi.Ntaziangalia game za wakubwa(city, Newcastle, Spurs) wakienda pale Luton
Lile Chaka sio poa kabisa. Hapafai hata kidogo
Lakini pia Luton walikua wanacheza aggressive sana, attack and defend as unitNadhani makosa ya raya ndio yamefanya gemu ionekane ngumu, ile ilikuwa ni game ya 3-1 hivi.
Ngoja nitizame na game ya city, hawa luton ndio game yao ya kwanza nimeitizama msimu huuLakini pia Luton walikua wanacheza aggressive sana, attack and defend as unit
Jpil city anaenda pale pale tulipotoa chukua 3 points tatu kibabe
Subiri mjeJamaa wapo vzr kwenye attacking tu ndio inawaweka mjini
Injuries moja kwenye kiungo,Ligi kwao imeishia hapo maana viungo wao Ni Szobo na macAllister ambao bado wanaruhusu Sana backline Yao kufikiwa
Backline Yao Wana konate ,matip na vvd hao ndio wakuaminika
Sasa matip nimeona nje miezi 9 kapata ACL, konate injury prone
Salah anaenda afcon anazikosa mechi muhimu zikiwepo 2 za Arsenal .

Mtaelewa mkifikaKwaio liverpunda sisi hatumzingatii![]()
Kaka sisi tujali usafiri wetu kwanza, haoa wengine watavagaa kisiki tu😄😄Kwaio liverpunda sisi hatumzingatii![]()
Halafu product yetu hii ya Cobham , uongozi wa Chelsea walivyo wapumbavu wakamtoa kwa mkopo na kumuuzaRice huwezi kukuta anakupa Rate chini ya 7+ kila mechi anakupa 7+
For me ni best DM in the world
Mpaka Sasa DM lakin Hana hata kadi
Caicedo hawezi kukaba bila kufanya foul. Jana kulikua na space kubwa uwanjani lakini alikua anashindwa kushambulia space.Caicedo na Rice Ni mbingu na ardhi
Huwa nacheka Sana Caicedo kufananishwa na Rice ,
Di zerbi alimfanya awe Bora ,Pale Brighton Kuna reject nyingi Lakini zinaonekana Bora sababu ya Di zerbi
Arsenal kidogo tuingie kichwa kichwa , Caicedo sio DM
Kaka kwa upendo huu, tuna omba ujazilizie zilizo pungua🤣😂Kuhusu Rice inabidi westham tuwaongezee pesa kidogo
Hapa tusubiri game ya liver na man u, maajabu yatimie🤣😂Mancity akienda bila wingers kwa Luton ,wanavyobana kale kauwanja
Anaacha point vzr tu