Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,087
- 16,081
Bado hujasema! 😂Mbona hamjadili kufunga goli baada ya dakika za nyongeza kuisha?
Ikitokea kwa Nyumbu au City mnapiga kelele kweli kweli.
Ile jana kiasi chake ilikuwa mbeleko toka FA/refarii
Bado hujasema! 😂Mbona hamjadili kufunga goli baada ya dakika za nyongeza kuisha?
Ikitokea kwa Nyumbu au City mnapiga kelele kweli kweli.
Ile jana kiasi chake ilikuwa mbeleko toka FA/refarii
Alafu Leo city aingie vizuri, unai yupo seriousLeo Villa anacheza na City
Ila City hawajatishiwa Villa badala yake eti sisi ndiyo tunatishiwa Villa.
Hivi mnawaelewa hawa?
Cry moreMbona hamjadili kufunga goli baada ya dakika za nyongeza kuisha?
Ikitokea kwa Nyumbu au City mnapiga kelele kweli kweli.
Ile jana kiasi chake ilikuwa mbeleko toka FA/refarii
Hatushindani na timu zenye magoli -veKuna ngonjera nilikuwa naisikia wanasema anayeongoza anatuzidi point 6View attachment 2834981
City kakandwa, hapa arsenal tutafute striker wa maana.Alafu Leo city aingie vizuri, unai yupo serious
Naona United pia kaamka mkuu MalcolM XII ,tusimchukulie poa kabisaNaona City anajitoa taratibu kwenye mbio. Sasa tupo na Liverpool.
😂dah.. Huu ni ucheshi sasa!Naona United pia kaamka mkuu MalcolM XII ,tusimchukulie poa kabisa
Point 9 kitu gani wakati ndio kwanza mechi ya 14 hii.😂dah.. Huu ni ucheshi sasa!
Boss tulale, hawa tunao asubuhiPoint 9 kitu gani wakati ndio kwanza mechi ya 14 hii.
Arsenal mwezi wenu wa kupoteza form huwa January, msijisahaulishe hili pia.