Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,754
- 26,027
..kwa hiyo wanawapa updates kila baada ya muda siyo au ni speculations za watu? kwa hiyo hizo 2 ni confirmed? Arteta na Benayoun?@ Richard
Mkuu hakuna wasiwasi Benayoun amesajiliwa kwa loan kwa mwaka mmoja na kwa lengo la kuwa permanent baada ya hapo.
Mikael Arteta bado wanazungumza.