Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumefungwa, so what?!
Tumegaragazwa, tuinuke, tujifute, tuingie tena uwanjani, asiyekubali kufungwa siyo....
Ila issue ya Kai na Raya inasumbuwa, tukumbuke msemo wetu kwa Gaffer Arteta, 'trust the process'...
C O Y G.
 
bado hamjasema..
 
Akili kubwa
Hapo hamna kocha...tunapeana matumaini ya kipumbavu sana....
Hua nikimuona nketiah,harvetz na georgino lazima game itunyee,,,,

Kuna jamaa alikuwa anasema mashabiki wa Arsenal ni makondoo sasa naamini japo huwa sipendi kutumia neno wanyama au kutoa maneno ya kukera kwenye jukwaa. Lakini hili ngoja niliseme na lipite.

Kwann ni makondoo kwasababu juzi tu Nketiah amefung hat trick. Mlimpamba kweli kweli mara bonge la mchezaji mwenye hat trick pekee ipielo




Leo imekuaje mnapondaaa ? Tuendeleeni kuburudika. Hakuna timu isiyo fungwa ipielo ukifungwa unajipanga upya safari inaendelea. Lakini kwenu ni tofauti mnataka mshinde mechi zote mnafikiri mna boraaa kuliko zingine.
 

Mpaka msemee na bado hamjasemaa
 
Yeah rumour has it ...inasemekana FA wanajarbu kumkumbatia pep ndo mana man city wanakua favoured sana ..ili tu aje awe coach wa England

Huzi ni sababu mfu
.

Kwamba ana be favoured na kuzawadiwa magoli sita juuu. Acheni sababu zisizo na maaana. Kubalini tu hamna timu ya kushindana man city.
 
Flano haukukosea mtazamo wako kuhusu mashabiki wa Arsenal..

Nyumbu mbona mashabiki wanasema kocha Jasusi amekuja kutapeli huku vichapo vikiendelea lakini hakuna matusi ...
Watoto wa humu wengi wamekosa malezi ya pande 2.
Mtaani kwetu bodaboda karibia wote ni mashabiki wa Arsenyau, sasa unategemea hawa vishandu wa humu watakua na adabu?
Malezi, malezi, malezi.
 
Mkuu unataka kuniambia Boda Boda wengi ni Arsenyo??

Masingeli kaingia mitini kama kawaida yake mzee wa kujipiga ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…