Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wadau mnalalamika jaman

Sheffield, Burney, na type ya timu hizo kwa Arsenal hii sio timu za kutusumbua ,Sisi sio Manjesta iliyopakishwa Basi na Sheffield , Burney


Rotation muhimu wachezaji walianza kupata fatigue

Hata Saka bado hajarejea vzr


Kai Leo kacheza role ya Ødegaard

Raha ya timu yetu wachezaji wengi wanapiga namba karibu tatu tatu

Kai anaua LCM,RCM na CF

Smith anaua LCM,LW na RCM

Viera anaua LCM na RCM


Kuna mechi za wapiga Domo next week ,jumatano tuna CARABAO Cup na Westham

Tunayataka mataji yote
 
nilivyokua najua unauelewa wa football kumbe unaogopa mchezaji kucheza saana ili asiumie duuh???
Najua mkuu kaangalie post zangu za last season nilisema kabisa hatuwezi shinda title sababu tuna squad depth ndogo hivyo akiumia beki mmoja tu msimu umeisha na ndio ilitokea pale Saliba alipoumia.
Anaepaswa kucheza acheze na atoe A perfomance sio swala la kupumzishana kisa kuhofia kuumia
Mkuu kuna correlation kati ya minutes played na recurring injuries kaangalie Ansu Fati, Pedri, Wilshere, Dembele, Diaby, n.k hawakuwa managed vizuri kwenye dakika wanazocheza wakiwa vijana wadogo ikaua kabisa miguu yao. Hii ni fact wala sio maoni binafsi.
Kama kuumia wachezaji wanaumia hata mazoezini
Training sio high intensity kama mechi unayopambana na rival ndio maana injuries za uwanjani ni nyingi kuliko kwenye training hii pia ni fact sio maoni yangu.
 
Acha kujipa false hope, kesho Man Utd tunachezea goli za kutosha tu, kama vipi njoo na kikapu chako.
Oi ,
20231028_192626.jpg
 
Magoli yamepatikana Kaka, tumwamini kocha, tuiamini timu na tujiamini sisi wenyewe.
Narudia statement yangu Nketiah ni MBAHATISHAJI ni kupwa kujaa anaweza akascore game 3 mfululizo then akaenda 5 to 10 games bila kuwa na assist wala goals so Nketiah kufunga leo sio ishu nikikuuliza Nketiah aliscore mwisho lini unaweza usikumbuke tunahitaji mtu wa kuoffer something kwenye team yetu kama walivyo wenzake
 
Kama umeangalia boli kitambo utaijua Trequartista role ambayo miaka ya 2004 mpaka 9 pale Milan walicheza watu Makini katika mfumo wa 4312 chini ya Carlo ancelotti. Manuel Rui Costa Fundi akaja Ricardo kaka Saizi Madrid kampa majukumu hayo Jude watu wa mpira hatushangazwi
 
Kama Odegaard katumika, je Modric au Toni kroos wasemaje?
Nao Kuna muda walikuwa wanapata rotation

Lakin pia Sion tatizo ,nimefurahi kumuona Kai as RCM

Nimefurahi kumuona Fundi mmoja na nusu Smith Rowe


Nimefurahi kumuona Polish Maldin Jakub Kiwior
 
Eddie Nketiah vs. Sheffield United:

90 minutes played
4 shots
3 shots on target
3 goals
0.96 expected goals
1 dribble (100% success)
38 touches
3 aerial duels (2 won)
3 fouls won

Hat-trick hero.
 
Arteta anasema Martin Odegaard amekuwa akicheza na jeraha katika wiki za hivi karibuni.

Arsenal waliangalia namba na kuamua leo ni wakati mzuri wa kumpa mapumziko na kuwapa dakika wengine.
 
Mashabiki wengi wa Arsenal hatujiamini, hatujikubali, tujiona wachambuzi na technicians kuliko Manager na bench lake la ufundi!
 
Arteta anasema Martin Odegaard amekuwa akicheza na jeraha katika wiki za hivi karibuni.

Arsenal waliangalia namba na kuamua leo ni wakati mzuri wa kumpa mapumziko na kuwapa dakika wengine.
 
Kuna mda inabidi wapumzike, ligi ni marathon nadhani Arteta amegundua hilo
Sijapinga mpishanano kwenye kikosi ila Mbona wachezaji wa timu zingine wanakamua tu toka tuwajue , huyu Rice toka umjue alipumzika lini kaka, ila kaja Arsenal game hata 20 hazijafika watu wanaomba apumzishwe.

Anaepaswa kucheza kutokana na Game acheze
 
Back
Top Bottom