Kikubwa ushindiHii game hata tuki sare...pow tu
LimekataliwaTAYARIIIII KIMEINGIA
Sawa sio goli, wewe uko buza kwa mama kibonge unaona zaidi ya VARGabriel kasukumwa kwa mikono 2
Kama ndo unaingia saiv msibani krbn sana.. Marehem mtarajiwa sifa yake kubwa alikua FALSE HOPER.Maadui wa mgonjwa tunaamin leo mgonjwa hawez kupata nafuu lzm aende na maji.
Tumekuja hapa kwa mgonjwa kuweka kambi mapema tukitegemea baadae kutakua na pilau na vinywaj vya kutosha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu.
Tunakutegemea Malaika mtoa roho (THE MAGPIES) usituangushe leo![]()
thubutu.Limekataliwa
Tunaangalia hii hii mkuu ambayo tunaona hapa Antony Gordon kaweka.