Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nao Kuna muda walikuwa wanapata rotation

Lakin pia Sion tatizo ,nimefurahi kumuona Kai as RCM

Nimefurahi kumuona Fundi mmoja na nusu Smith Rowe


Nimefurahi kumuona Polish Maldin Jakub Kiwior
Huyu kiwior ni bonge la player, amechangamka sana uwanjani
 
Kesho mnashinda...hutaamini
Sisi na Chelsea ni ndugu tena wa damu kabisa, itakua ni usaliti wa hali ya juu nikimuacha ndugu yangu Mkohoti akalia peke yake.
We laugh together and we cry together.
20230822_085036.jpg
 
Our opponent today, ni timu ndogo (bottom of the table) usjione kama tumefanya kazi kubwa kuuangusha mpapai
Unajua Mancity alistruggle Sana had dk ya 88 ndipo walipata ushindi

Uliangalia vs manjesta alivyokuwa anakimbizwa na Sheffield hasa first half?


Kilichofanyika leo Ni wachezaj kuichukulia serious mechi


Kabla ya mechi Øde alisema maneno haya

Martin Ødegaard

"We have to treat this as a Champions League game as well. That’s the mindset we need, because every team in the Premier League will give you a big fight."
 
Fabio Vieira , Smith Rowe

Hawa madogo nawakubali mno.
Katika jicho la mpira hawa watu watakua moto Sana

Angalia one two one two za Smith

Angalia michezo ya positional play anayoicheza Vieira
 
Fabio Vieira , Smith Rowe

Hawa madogo nawakubali mno.
Katika jicho la mpira hawa watu watakua moto Sana

Angalia one two one two za Smith

Angalia michezo ya positional play anayoicheza Vieira
Nimefurahi Sana kuwaona

Arsenal material hao
 
Unajua Mancity alistruggle Sana had dk ya 88 ndipo walipata ushindi

Uliangalia vs manjesta alivyokuwa anakimbizwa na Sheffield hasa first half?


Kilichofanyika leo Ni wachezaj kuichukulia serious mechi


Kabla ya mechi Øde alisema maneno haya

Martin Ødegaard

"We have to treat this as a Champions League game as well. That’s the mindset we need, because every team in the Premier League will give you a big fight."
Kuongezea tu Spurs alishinda goli mbili dk za nyongeza...mpk dk ya 90 walikuwa wanaongozwa goli 1 na Hawahawa watoto...
 
Arteta says Odegaard has been playing with an injury in recent weeks.

"Martin has been carrying a little thing that has not been very comfortable." #AFC
Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv🤠🤠🤠...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwa
 
Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwa
Newcastle akijitahidi Sana safari hii atacheza conference league
 
Tim Sherwood:


“I feel sorry for Eddie because people always, even Arsenal fans, always asking questions about him and look at what he can’t do, I like to look at what they can do. He can play in a lot of teams. A lot of big teams.”

“You’re telling me this boy couldn’t play for Man United at the moment, instead of Hojlund? He’s an upgrade on Hojlund. They spent an awful lot of money on him. For me, he’s top drawer. I think he warrants playing for Arsenal at the top of the Premier League.”(sky via football365)
20231028_215755.jpg
 
Newcastle akijitahidi Sana safari hii atacheza conference league
Msemaji wao anasema walianza na ratiba ngumu sana....akatuaminisha Sasa ndo wataanza kushinda rasmi...watu wazima tukimuambia wao bdo watoto wadogo anajibishana na sisi hmu....UEFA ndo anaenda kutoka na ligi kuu ndo anazidi kudondosha points...wa kuwaangalia kwa jicho la tatu safari hii ni Aston Villa...vijana wanaubonda kwlikwli tofauti na Hawa wafukuza upepo Nyukesto🤠🤠🤠
 
Msemaji wao anasema walianza na ratiba ngumu sana....akatuaminisha Sasa ndo wataanza kushinda rasmi...watu wazima tukimuambia wao bdo watoto wadogo anajibishana na sisi hmu....UEFA ndo anaenda kutoka na ligi kuu ndo anazidi kudondosha points...wa kuwaangalia kwa jicho la tatu safari hii ni Aston Villa...vijana wanaubonda kwlikwli tofauti na Hawa wafukuza upepo Nyukesto
Astonvilla niliwatabiria makubwa Sana msimu huu


Kenge fc ana mech 8 dume, had kufikia mechi ya 18-19 akiwa ndani ya top 10 Basi wao wanaume

Kufikia mech ya 18-19 ,Kenge FC watakuwa 13-17

Nyumbu fc hawa mwaka huu top 7 hawagusi maana hawana uwezo wa kuwachomoa Arsenal city Spurs Liverpool, Brighton Astonivilla na Newcastle

Kifupi nyumbu hizi wiki 2 alikuwa honeymoon, now anarudi kwenye vipigo vitakatifu Hadi nafasi za 8-12
 
Back
Top Bottom