Huyu wa nyukesto mbona haijibu hii?Hii ni Head To Head ya Arsenal na Nyukesto ila wewe bwana shamba unaamini tukikufunga tutakua tumekubahatisha? ๐๐๐๐
View attachment 2801775
ASENANE ๐ฎ
[emoji16][emoji16][emoji16] jibu moja la kikatili sana kuhusu PochMpira anaofundisha poche na hivyo vilabu ni mbingu na ardhi
Newcastle tumpige tatu kavu wewe unaonaje mzee?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Soma vizuri Arsenal kashinda jumla ya mechi ngapi na Nyukesto mmeshinda ngapi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ndugu yangu Castr head to head unajichagulia mechi mbili ulizoshinda ndio unaweka?
Hii hapa tena ni recent meetings sema kingine. View attachment 2803061
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2803059
Tanzania shabiki wa Newcastle ni Mzee Kikwete tuSio PHASE ni FALSE , haya ni matoleo mbalimbali ya FALSE HOPE ila tu wameyaita PHASE badala ya FALSE.
Na kuna fundi simu anaitwa Anderson yupo Kwa Kopa. Shearer alivyostaafu na yeye akaachaTanzania shabiki wa Newcastle ni Mzee Kikwete tuView attachment 2803135
Jumatano ikawaje ๐๐๐Hivi Jana Jorginho hakucheza
Jumatano vs Westham tusifanye makosa hili kombe tulitolee macho tena yote mawili
Ivi apa ndipo jina la arse8 lilipozaliwa๐ฅ๐ฅASENANE ๐ฎView attachment 2802919
Jorginho sio wa kumuweka katikati akabiliane na kina Bruno G,Wakianza Zinchenko Kai na Jorginho kwa pamoja hii game vs Newcastle first half game itakuwa imeisha
Mimekaa paleAseno nawakubali sana musimu huu lazima muwe mabingwa [emoji36][emoji36][emoji36]
Hii ya goli 10 ndio funga kazi๐๐๐[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2803059
Hahaha tuliwaambiaUkweli ni kwamba KAI tumepigwa