Kwa Enzo Fernandes pale yule dogo ni mtu na nusu ,
Ukimuweka Bellingham na Enzo, aisee nasepa na Enzo,
Media zilimpigia Sana promo Bellingham, ila kwa Moto aliouwasha Enzo, Kuanzia Madrid, Liverpool ,man u ,Chelsea wote wamegeukia kwa Enzo, wamegundua uhalisia
Bellingham akikutana na Viungo wenye ufundi kidogo huwezi kumuona ,
Binafsi nilikuwa Team Argentina ,Baada ya mechi ya Kwanza nikawakataa nilipoona Viungo wao Parades na De Paul , nikahamia Spain Sababu napenda mpira mzuri,
Mechi ya 2 Argentina wakaanza kumtumia Enzo Fernandes , hapo ndipo Argentina ilibadilika ,dogo ni fundi, humpress kiboya ,passing ability

,
Bellingham mechi nyepesi nyepes ndio utamuona , Enzo kachafua mechi Zile nyepes ,ngumu katakata
Nunez ilikuwa risk ya kupigwa Ni kubwa, wewe mchezaji kafanya vzr msimu mmoja unaruka nae kwa €100m .