Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtendaji mkuu wa Shakhtar Donetsk amekiri klabu hiyo iko tayari kumuuza Mykhailo Mudryk mwezi ujao, licha ya kukataa ofa ya awali kutoka kwa Arsenal kwa winga huyo.

Shakhtar wiki hii walikataa ofa rasmi ya Arsenal kwa Mudryk, ambayo ilifahamika kuwa na thamani ya hadi pauni milioni 55 zikiwemo nyongeza.

Kukataa kwa upande wa Ukraine kwa ofa hiyo haimaanishi kuwa hawataki kuendelea na mazungumzo, hata hivyo, na Mkurugenzi Mtendaji Sergei Palkin alisema klabu iko tayari kumruhusu fowadi huyo kuondoka katika wiki zijazo, kwa bei inayofaa.

Shakhtar wamesema hapo awali wanamthamini Mudryk kwa pauni milioni 88, wakisema kwamba kiasi hicho kinatazamiwa na ukubwa wa mikataba inayowahusisha Jack Grealish (£100m kwenda Manchester City kutoka Aston Villa) na Antony (kutoka Ajax kwenda Manchester United kwa pauni 81 za awali) miaka ya hivi karibuni.

Lakini kuna matarajio kwamba timu ya Ukrain hatimaye itakuwa tayari kukubali ada ya chini baada ya mazungumzo na Arsenal, ambao sasa ndio watangulizi wa wazi kuwania saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.

"Mazungumzo yanaendelea," alisema Palkin katika mahojiano na tovuti ya klabu ya Shakhtar. "Tunapokea ofa, lakini sio zile ambazo tungependa kuona kwenye meza yetu.
"Tuko tayari kwa mazungumzo, tuko tayari kubadilishana mawazo na takwimu. Ikiwa tutakubaliana, basi iwe hivyo.

Ikiwa hatutafanya, basi iwe wakati mwingine."

Muundo wa ofa ya Arsenal unaweza kuwa muhimu katika mazungumzo, na pia nia ya Mudryk mwenyewe kuhamia London Kaskazini.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ukraine hajaficha nia yake ya kuondoka Ukraine katika dirisha hili la usajili na mara kwa mara amekuwa akizungumzia jinsi anavyovutiwa na kikosi cha Mikel Arteta cha Arsenal.

Hivi majuzi Mudryk alifanya mahojiano na mke wa Oleksandr Zinchenko, beki wa kushoto wa Arsenal, na hata kuchapisha video kwenye mitandao ya kijamii inayoonyesha kwamba alikuwa akitazama ushindi wa hivi majuzi wa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya West Ham United.

Mudryk, ambaye amecheza mechi nane kwa timu ya taifa ya Ukraine, mara nyingi ni winga wa kushoto lakini pia anaweza kufanya kazi upande wa kulia wa safu tatu za mbele za Arteta.

Kuwasili kwake kunaweza kumruhusu Gabriel Martinelli kucheza katika nafasi ya kati zaidi, ambapo Arsenal kwa sasa hawana chaguo kutokana na jeraha la muda mrefu la goti alilopata mshambuliaji wa Brazil Gabriel.

Yesu.

Mshambulizi pekee wa kati anayepatikana Arsenal kwa sasa ni mhitimu wa akademi Eddie Nketiah, ambaye alicheza vyema dhidi ya West Ham siku ya Boxing Day.

Mudryk alikuwa akivutiwa na Brentford katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi, huku klabu hiyo ya magharibi mwa London ikiwa tayari kuvunja rekodi yao ya uhamisho ili kumsajili kabla ya kuanza kwa msimu.

Brentford walikuwa tayari kutumia karibu £25m kumnunua Mudryk lakini Shakhtar hawakuwa na nia ya kumruhusu winga huyo kuondoka kwa ada hiyo.
 
Enzo ni mchezaji mzuri ila si mchezaji wa €120m, Profile yake haina tofauti na Xabi Alonso.

Benfica wabaya sn, walimpiga Atletico €120m kwa Felix sahivi wanamtoa mkopo, wamempiga liverpool €100m Nunez, tukasema ni mchezaji wa project, tacticos JF wakasema si mchezaji wa project ni complete player, sasa complete player anafundishwa finishing & decision making? Ok soon mwingine anapigwa €120m kwa Enzo afu unakuja kugundua Jude ni zaidi ya Enzo as Jude anaexcel kwa phases zote hadi Final 3rd.
 
Kuna muda 3-2-5 Tierney akiwa ndani na 2-4-4 kama Zinchenko akiwa ndani kwenye Build Up. Hivi ndivyo Arteta anavyotupa darasa kila siku.

Ni ngumu sana kucheza na Arsenal. David Moyes alipoulizwa kama anafurahi kukutana na Arsenal alisema “Ningependa kukutana na Arsenal miaka 3 nyuma lakini sio sasa”. Unajua kwanini?

Arsenal na Arteta hawatabiriki. Wanakuja kitofauti kabisa, huwezi kuwa-press kwa dakika 90, ukiwashambulia ni lazima na wewe ushambuliwe, wanacheza na kupasiana kwa haraka. Ni ngumu mno kushindana nao.

Dhidi ya Westham Arteta aliongeza kingine kwenye ubongo wangu. 2 build up plays. Namna nyingine ambayo shape ya Arsenal inavyokua wakiwa wanaanza Mashambulizi.

3-2-5 kukiwa na Tierney. Gabriel-Saliba na White mama Back 3, double pivot ya Tierney na Partey, halafu 8’s wawili Xhaka kama Runner na Ødegaard kama Controller halafu Wings una Martinelli na Saka, na main target Nketiah.

Hii ilibadilika alipoingia Zinny. 2-4-4 kwenye Build up. Saliba na Gabriel kama Centre backs, halafu Zinny, Partey, White na Xhaka juu yao Ødegaard, Saka na Martinelli kwenye wings na Nketiah kama main target.

Arsenal is unpredictable. Ni ngumu kukabika. Ni ngumu kujilinda usiadhibiwe. Game nzuri msimu huu ni kati ya Arsenal na City. Hapa tutashuhudia ufundi na ubunifu na uwezo wa wachezaji tena kwa hali ya juu mno.

Arteta ni Masterclass
IMG_20221229_193249.jpg
 
Enzo ni mchezaji mzuri ila si mchezaji wa €120m, Profile yake haina tofauti na Xabi Alonso.

Benfica wabaya sn, walimpiga Atletico €120m kwa Felix sahivi wanamtoa mkopo, wamempiga liverpool €100m Nunez, tukasema ni mchezaji wa project, tacticos JF wakasema si mchezaji wa project ni complete player, sasa complete player anafundishwa finishing & decision making? Ok soon mwingine anapigwa €120m kwa Enzo afu unakuja kugundua Jude ni zaidi ya Enzo as Jude anaexcel kwa phases zote hadi Final 3rd.
Kwa Enzo Fernandes pale yule dogo ni mtu na nusu ,

Ukimuweka Bellingham na Enzo, aisee nasepa na Enzo,

Media zilimpigia Sana promo Bellingham, ila kwa Moto aliouwasha Enzo, Kuanzia Madrid, Liverpool ,man u ,Chelsea wote wamegeukia kwa Enzo, wamegundua uhalisia

Bellingham akikutana na Viungo wenye ufundi kidogo huwezi kumuona ,

Binafsi nilikuwa Team Argentina ,Baada ya mechi ya Kwanza nikawakataa nilipoona Viungo wao Parades na De Paul , nikahamia Spain Sababu napenda mpira mzuri,

Mechi ya 2 Argentina wakaanza kumtumia Enzo Fernandes , hapo ndipo Argentina ilibadilika ,dogo ni fundi, humpress kiboya ,passing ability ,

Bellingham mechi nyepesi nyepes ndio utamuona , Enzo kachafua mechi Zile nyepes ,ngumu katakata

Nunez ilikuwa risk ya kupigwa Ni kubwa, wewe mchezaji kafanya vzr msimu mmoja unaruka nae kwa €100m .
 
TUTAPIGA PESA NDEFU HAPA TUKITAKA KUUZA ,

Ten goals from Folarin Balogun in just 16 games in Ligue 1 this term. Last season, Ekitike, who joined PSG on loan with a €35m purchase option, scored 11 goals in 26 games.
 
Arsenal are one of the teams interested in Martin Terrier

(Mediafoot - Mediafoot OM were the 1st to link us with Mudryk and this appears to be part of the same network)
 
Kwa Enzo Fernandes pale yule dogo ni mtu na nusu ,

Ukimuweka Bellingham na Enzo, aisee nasepa na Enzo,

Media zilimpigia Sana promo Bellingham, ila kwa Moto aliouwasha Enzo, Kuanzia Madrid, Liverpool ,man u ,Chelsea wote wamegeukia kwa Enzo, wamegundua uhalisia

Bellingham akikutana na Viungo wenye ufundi kidogo huwezi kumuona ,

Binafsi nilikuwa Team Argentina ,Baada ya mechi ya Kwanza nikawakataa nilipoona Viungo wao Parades na De Paul , nikahamia Spain Sababu napenda mpira mzuri,

Mechi ya 2 Argentina wakaanza kumtumia Enzo Fernandes , hapo ndipo Argentina ilibadilika ,dogo ni fundi, humpress kiboya ,passing ability ,

Bellingham mechi nyepesi nyepes ndio utamuona , Enzo kachafua mechi Zile nyepes ,ngumu katakata

Nunez ilikuwa risk ya kupigwa Ni kubwa, wewe mchezaji kafanya vzr msimu mmoja unaruka nae kwa €100m .
Enzo nimemuangalia kwenye World cup, Argentina nilikuwa naisupport pia, ni mchezaji mzuri kwenye phases mbili za chini.

Enzo hn tofauti na partey kwa majukumu anayopewa, lakini utofauti wao partey ana physicality ya kumudu central area Peke yake kwenye kila transitional moments ( Attacking/ Dafensive) , kocha wa Argentina Scaloni in possession amemtumia Enzo kwenye build up & progression lkn off the ball alimuhitaji Rodrigo De paul ambaye alikuwa anacheza km right wing in possession kuja katikati kufanya dirty works cuz alikosa athleticism kwenye mid area, so in my opinion Enzo analack athleticism in defensive transition lkn pia he doesnt excel to tht extent in 3rd phase, that's why i opt for Bellingham . Nimetumia Argentina's performance kama Benchmark.
 
Upo sahihi , kwa hizo Sifa , Bellingham napiga chini , mechi nyepesi tu ndio utamuona

Kule bundesliga anafanya vzr ,njoo Sasa akikutana na Viungo nje ya bundesliga anavyotepeta

World cup mechi ya Kwanza kafanya vzr dhidi ya Iran Sababu Ni average team ,

Mechi ya 2 dhidi ya USA ,yenye watoto mafundi kama Musah Weston na Tyre Adams ,ilibidi Bellingham wamtoe aingine Henderson Timu ikatulia ,

Southgate akagundua ,ili uupate ubora angalau wa Jude, Ni kumuwekea 2 holding Midfielders (Rice na Henderson) ,na hata akienda Liverpool anaenda kutumika na Viungo wawili wakumfanyia Kazi chafu,

Iwapo utamchukua umtumie kwenye double 8, Basi unahitaji workrate kubwa kwa wachezaji wako, na Muda wowote usubiri apotezwe .

Southgate alipenda atumie double 8 ( mount & Bellingham) chini Yao Rice , Akaja kugundua atapigika vibaya ,hakurudia
 
KUELEKEA MECHI NA BRIGHTON NIMEFARIJIKA KUMUONA ZINNY MAZOEZINI

Zinny akiwepo tu ,kunakuwa na uhakika 90% hiyo mechi lazima tukamate kiungo ,utake usitake

Kwenye lineup anakuwa Kama LB, but tukiwa na mpira Ni Holding midfielder

Faida zake

Anaongeza namba ya Viungo hivo Ni rahis timu kutoka nyuma kwenda mbele kwa haraka

Zinny Ni press resistant , technical (ufundi) anao mkubwa, passing ability yake Ni kubwa

View attachment 2462530View attachment 2462531
namkubali zinny lkn game na brighton itabidi ajiandae vizuri kiulinzi zaidi.. upande wake kuna march so itakuwa kazi kum zibiti yule jmaa.
 
Waandishi wa habari walimuuliza Arteta swali Kama lako mechi na Spurs ,wakamwambia Spurs anatumia kaunta ,je umejiandaaje Upande wa Zinny

Aliwaambia hawazi kulinda kaunta, Cha Kwanza ikamate game , mengine yatafata

Without ball ndani ya sekunde utaona Arsenal Shepu ya ulinzi imebadilika na kuwa 4-4-2 , saka na martinel wanarud kusaidia kukaba .
 
ni sawa mze lkn brighton hawachezi kaunta.. 1 vs 1 lzima zitatokea nyingi tu hususan kwa zinny na white.

ukiwatizama namna wanavocheza brighton.. wingers zao zinakaa pia karbu sna na touchlines kutanua uwanja na pia mpira wao ni wa kumiliki zaid n ku control mchezo.

kama tomiyasu atakuwa fit.. hi game ingemfaa zaid.. kwa mbinu za wkt huu za arteta namn zilivo.
 
TUTAPIGA PESA NDEFU HAPA TUKITAKA KUUZA ,

Ten goals from Folarin Balogun in just 16 games in Ligue 1 this term. Last season, Ekitike, who joined PSG on loan with a €35m purchase option, scored 11 goals in 26 games.
Huyo si wa kuuza, akomae hapo kama Saliba atakuja kutufaa. Ni finisher mzuri sana na tunamhitaji.
 
Upo sahihi , kwa hizo Sifa , Bellingham napiga chini , mechi nyepesi tu ndio utamuona

Kule bundesliga anafanya vzr ,njoo Sasa akikutana na Viungo nje ya bundesliga anavyotepeta

World cup mechi ya Kwanza kafanya vzr dhidi ya Iran Sababu Ni average team ,

Mechi ya 2 dhidi ya USA ,yenye watoto mafundi kama Musah Weston na Tyre Adams ,ilibidi Bellingham wamtoe aingine Henderson Timu ikatulia ,

Southgate akagundua ,ili uupate ubora angalau wa Jude, Ni kumuwekea 2 holding Midfielders (Rice na Henderson) ,na hata akienda Liverpool anaenda kutumika na Viungo wawili wakumfanyia Kazi chafu,

Iwapo utamchukua umtumie kwenye double 8, Basi unahitaji workrate kubwa kwa wachezaji wako, na Muda wowote usubiri apotezwe .

Southgate alipenda atumie double 8 ( mount & Bellingham) chini Yao Rice , Akaja kugundua atapigika vibaya ,hakurudia
Belligham sio mchezaji wa build up, ukicheza na Mount & Rice km 8s. rice anabaki km lone 6. Kumbuka Rice doesnt excel enough with the entire build up running thru him as lone 6, kocha anaona ni vizuri Henderson awe beside him kusaidia build up with his passing range. Km Bellingham angekuwa anaexcel kwa build up phase basi angekuwa untouchable level za Mbappe. Bellingham ni replacement nzuri ya Xhaka but i know we cant afford this. Ningependa Arsenal tuwe na Locatelli, Rice, Bellingham siku moja
 
Nimeisoma hii nimeona makosa hapo kwenye Mount & Rice ilibidi kuandika Mount & Bellingham km 8s.
 
De Zerbi:

"Webster and Welbeck are not able to play [vs Arsenal] but we knew last week we had to wait another week."
He added Mac Allister will be back soon but will also miss the Arsenal match.
#bhafc #afc
 
KWA WANAOMJUA MUDRKY

De Zerbi on his former player Mudryk:

"Mudryk is a fantastic player but Brighton can't buy him. I like him because all my ex-players I like but I am Brighton's coach. I think Mudryk can win the Ballon d'Or in the future. I know the value of Mudryk." #bhafc #afc
 
NAFATILIA PRESS YA DI ZERB KUELEKEA MECHI BRIGHTON VS ARSENAL KESHO

Adam Webster, Danny Welbeck, Mac Allister and Moises Caicedo will all miss Brighton's match with Arsenal. Boost.
 
Back
Top Bottom