Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I like to see Kai as RCM

Midfield ya Leo

Kai Rice Rowe

But sijajua Nani atakuwa RCM na LCM

Moja ya nafasi nyingine ya Kai Ni RCM , anaijua vzr kuliko LCM

Smith Rowe pia Ni LCM na RCM
Nasubiri evaluation yako kaka ya Kai as RCM
 
FB_IMG_16983603302219388.jpg
 
Sawa utaelewa wakianza umia hapo January. Squad depth ni muhimu ndio maana Man City hawashikiki maana wanaweza pumzisha first 11 nzima na usione tofauti!!
Yan nilivyokua najua unauelewa wa football kumbe unaogopa mchezaji kucheza saana ili asiumie duuh???

Kama kuumia wachezaji wanaumia hata mazoezini

Anaepaswa kucheza acheze na atoe A perfomance sio swala la kupumzishana kisa kuhofia kuumia
 
Kuna mda inabidi wapumzike, ligi ni marathon nadhani Arteta amegundua hilo
 
Back
Top Bottom