Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shida Kondoo mnapenda kudanganywa kama mc anavyowadanganya Kai hamjapgwa, wakat mpira kila mtu anauona.
Jamaa anaongea Facts ushabiki anaweka pembeni.
Unakuja kujipitisha humu

Wakati timu yako inagombea kushuka daraja

Unapata wapi hiyo nguvu

Kwa ratiba yenu mkikaa vibaya mtakuwa nafasi hata ya 17 by January
 
Madders bonge la mchezaji, kabla hajaenda Spurs sikuwahi kumuelewa, but anytime soon i will take madders for odegaard.
 
Chido Obi kutoka U15 amepandishwa Hadi U21 kutokana na uwezo mkubwa aliouonesha madarasa ya chini

Bukayo Saka,Ethan Nanweri ,Gabriel Martinelli Ni moja ya wachezaji waliopandishwa madarasa

Gabriel Martinelli alisajiliwa akiwa na miaka 18 na kupelekwa academy ya Arsenal, uwezo wake ulimrusha madarasa Hadi Senior team

Bukayo Saka alitoka U18 Hadi Senior team

Now Chido Obi leo kapandishwa kutoka U18 Hadi U21
20231029_161044.jpg
 
Chido Obi raia wa Nigeria anayechezea Denmark U17 anatokea academy ya Arsenal maarufu Kama Hale End

Anacheza Kama CF

katika mechi za U17 za Denmark amecheza mechi 9 akifunga goal 7

A physical menace, with excellent hold up qualities, can finish well with both feet.

Our homegrown Osimhen.
20231029_161547.jpg
 
Spurs bado hawajakutana na mechi dume

Bado hawana sifa za title contender

Mwaka Jana had January walikuwa nafasi za juu

Baada ya round ya kwanza Spurs atakuwa anagombea top 4

Ukimtoa Maddson timu inapwaya

Lakin Ni moja ya timu inaruhusu Sana kushambuliwa pamoja na wao kuwa wanapata magoli

Top 4 nawaona kabisa wakiingia
But msimu huu Spurs counter siyo mchezo mzima ni sehemu ya mchezo unlike msimu uliopita ndiyo maana walivyoshtukiwa hali ikawa mbaya.

Nafikiri wanastahili kutushangaza msimu huu kuliko yote, bado wanajifunza kutopaki basi ndiyo maana wanashambuliwa
 
Tuna ile game dhidi ya Soton msimu uliopita.

Tunasuluhu nao 3 kwa 3

Ukiniuliza mimi nitasema magoli mawili ya Soton ni kazi ya Ramsdale.

At some point nahisi Arteta anakumbuka matukio kama hayo
 
Nimekumbuka kauli ya Vincent Kompanykwamba Sambi Lukonga ni new Yaya Toure
Fofana wanamfananisha na Yaya Toure kwasababu yuko powerful sana, na ngumu sana kumnyang'anya mpira. Kama hujaangalia Ile game ya Emirates cup, kaangalie video zake YouTube utaona uchezaji wake
 
Kama uko hapa kupinga uwezo wa Partey kaa kwenye foleni.

Ushindi wetu dhidi ya City umeanzia kwa nani mjomba?
Nacheka kwa dharau, endeleza uchambuzi nzala kwamba Declan hivi na vile bla bla bla, huyu sio partey iliyomchukua miaka miwili kujifunza namna ya kucheza holding midfield, its just the beginning ndo hata miezi sita hana.
 
Shabiki wa Arsenal ku support Manyumbu ni unafki, no matter what manyumbu ni wapigwe tu. Yani unapigwa kutokana na uwezo wako kama Chelsea anavyopigwa
 
Nacheka kwa dharau, endeleza uchambuzi nzala kwamba Declan hivi na vile bla bla bla, huyu sio partey iliyomchukua miaka miwili kujifunza namna ya kucheza holding midfield, its just the beginning ndo hata miezi sita hana.
Una umri gani nigga unaandika unacheka kwa dharau 😆

Observations zitazidiana no matter what.
 
Zubimendi nimemuandika humu msimu wa usajili uliopita naona Twitter wamecharuka kumjadili kwamba tunamhitaji smh
Wakati wewe ulimuona Zubi kama DM cover watu wanamuona kama Lcm now, yani huo ndio utofauti wa kuujua mpira ni kuelewa namna ya ku profile mchezaji, kuandika tu haitoshi, hata chid benz anaandika akitaka kurap.
 
Kocha anaagiza daktari wa timu asafiri na Partey. Zubimendi ni Busquet kama Busquet amewahi kucheza LCM basi na yeye atacheza.
 
Una umri gani nigga unaandika unacheka kwa dharau

Observations zitazidiana no matter what.
We si mbishi na nilikwambia takukumbusha, au nifukue utopolo ulokua unaandika humu, nikakwambia sipotezi muda na nguvu, muda utakufunza, jifunze now ili usilopoke siku nyingine mbele ya publuc.
 
We si mbishi na nilikwambia takukumbusha, au nifukue utopolo ulokua unaandika humu, nikakwambia sipotezi muda na nguvu, muda utakufunza, jifunze now ili usilopoke siku nyingine mbele ya publuc.
Publuc ni nini boss?

Kocha anaagiza daktari wa timu asafiri na mchezaji wewe upo hapa kubishana na mimi
 
Back
Top Bottom