hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,521
FOFANA mtu Sana ilikuwa 2nd option yetu ,yupo kwenye list za wachezaji wanaohitajika Arsenal eneo la DMFofana wanamfananisha na Yaya Toure kwasababu yuko powerful sana, na ngumu sana kumnyang'anya mpira. Kama hujaangalia Ile game ya Emirates cup, kaangalie video zake YouTube utaona uchezaji wake