Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
Naangalia mpira na kuchambua vitu vidogo vidogo

Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu mashambulizi Sana

Hawana depth ya kikosi kipana

Kuna factors nyingi tu ninazo

Spurs walibaki na wachezaji 8 vs 11 na Liverpool na walikuwa wanashindwa kuwafungua

Sijui unanielewa?

Spurs bado hajamalizana na big 6 mancity,Chelsea ,asilimia kubwa kacheza na bottom 8 kwenda chini .
 
Ukweli ni kwamba KAI tumepigwa
Kai Jana kacheza vzr

Tatizo uelewa mdogo wa football

Kai Jana kacheza role ya Ødegaard

Mech mbili zilizopita katumika Kama CF na tuliona impact yake

Awali alicheza LCM

Toka amefika Arsenal ana average Rating ya 7

Mchezaji unayemtumia nafasi karibu 3 unasemaje Tumepigwa?

Mech na Chelsea ,Jesus na nketiha walishindwa kabisa kukabiliana na Silva na Colwill sababu Ni warefu Sana ,anaingia Kai anapokea mipira ya juu ,anampa Saka ,Saka anatupa Kross tunaondoka na point 1 unasemaje Tumepigwa ?

Mech na City anaingia Kai baada ya Nketiha kushindwa kufurukuta kwa kina Dias , Kai anawin long balls zote ,anatoa assist kwa Martinelli tunaondoka na point 3

Unasemaje Tumepigwa ?

Mchezaji unamtumia nafasi 3 (LCM,CF na RCM) unampata wapi ,

20231027_085847.jpg
 
Ngoja tuone mkongwe
Umeona Kaka

Kuna mechi ya Germany ,Kai alicheza RCM , alichafua Sana ,nikapenda nimuone siku moja kwenye hiyo role Arsenal

Nadhani Sasa tuna option za kutosha

Smith Rowe mechi na Brentford Carabao alicheza RCM alicheza vzr Sana

Nimefurahi pia kuona Smith Rowe anapata nafas
 
Rice Jana kapiga assist Tena mbona haisemwi ?

Babu Wenger anasema anatamani Sana angemfundisha Declan Rice

Mwamba anazima LCM kwa A+

Anazima DM kwa A+
 
Me Declan Rice nilianza kumkubali baada ya kumuangalia sana YouTube. Video za YouTube zinakuonyesha best moments za mchezaji, maana yake kama mchezaji akiwa fit kile ndiyo mnachotarajia kukiona. zubimendi siyo mbaya ila Youssef fofana kwa maoni yangu ni option nzuri
FOFANA ana energy kubwa Sana ,yule akija anakaa DM ,Rice LCM

ukuta wa Timber Magalhaes Saliba White

Hapo hupati goli hata la offside

Zubimendi nimemuangalia Sana na Arsenal walienda wiki iliyopita kumfatilia Tena

Zubimendi Ni Kiungo wa pass nyingi Sana ,pia press resistance, Zubimendi Hana tofauti Sana na Zinchenko

Na Kama tunampata Zubimendi Basi atacheza LCM ,Rice DM

Lakini mmemfatilia Charlie Patino ?dogo ameiva Sana na amesema anamtumia Saliba Kama mfano ,alipopelekwa mkopo alirudi na kuingia XI.

Patino kaiva Sana ,
 
F

Fofana ni half Partey half yaya Toure
 
Sidhani kama Arsenal hata Wana mpango na huyo Fofana...shida ndo ipo hapo...klabu itakayompata yule mwamba wata enjoy
 
Sidhani kama Arsenal hata Wana mpango na huyo Fofana...shida ndo ipo hapo...klabu itakayompata yule mwamba wata enjoy
Alikuwa 2nd option ya Rice

Tulivyocheza na Monaco pre season ,mwisho wa mechi alikuwa anaongea na Arteta

Nasikia mkataba wake upo mwishoni
 
Mikel Arteta says #Arsenal's Declan Rice is playing 'at the highest level':

“Declan's been terrific for us and I think he has performed at the highest level, especially in big games. That’s when you want to see your big players and he has to step out there and his contribution in these games has been really important, so I’m really pleased."
 
Alikuwa 2nd option ya Rice

Tulivyocheza na Monaco pre season ,mwisho wa mechi alikuwa anaongea na Arteta

Nasikia mkataba wake upo mwishoni
Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati🤠🤠🤠
 
Toa Georginho...uza Partey...uza Cedric...Leta hyo Fofana na Toney...Elneny abaki kusaidia mechi za makombe ya FA na Carabao...
 
Naangalia mpira na kuchambua vitu vidogo vidogo

Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu mashambulizi Sana

Hawana depth ya kikosi kipana

Kuna factors nyingi tu ninazo

Spurs walibaki na wachezaji 8 vs 11 na Liverpool na walikuwa wanashindwa kuwafungua

Sijui unanielewa?

Spurs bado hajamalizana na big 6 mancity,Chelsea ,asilimia kubwa kacheza na bottom 8 kwenda chini .
Let's wait Mkuu
 
Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati
Huyo jamaa nilikua nafikiri ni mimi tu niliemuona nasemaga hivi hizi timu zetu hazioni watu wakazi kama hawa ziwalete,. Jamaa ni mtu wakazi na anajua mpira
 
Let's wait Mkuu
Mpaka Sasa Defence ngumu kuzifungua Ni Arsenal na Mancity anafata Chelsea ,shida hawa Chelsea tatizo Lao hawafungi magoli

Shots Faced:

City - 61
Arsenal - 76
Chelsea - 91
———————
Spurs - 115
Liverpool - 124
United - 145

Utaona hapo Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu kushambuliwa Sana ,sawa na Liverpool,utofauti wao ni Liverpool ana safu Bora ya ushambuliaji

Manjesta hawa Ni timu inayoongoza kupelekewa Moto hata na watoto wadogo Kama kina Sheffield Burney hata Luton

Ili uingie kwenye mbio za ubingwa unatakiwa uwe vzr kwenye attacking na Defence

Mwaka Jana had kufikia mech ya 28 au 29 ,Arsenal tulikuwa Ni timu ya 2 kwa kuruhusu magoli machache ,kuumia kwa Saliba kuliharibu kila kitu

Spurs kufikia January had February atakuwa ametupa taulo

Nilisema hili wakati manjesta wanajiita title contender ,ilipofika February walitupa taulo
 
Jamaa ana miaka 24....ukimchukua una uhakika wa huduma yake kwa miaka si chini ya 6....ukimpata hyu na Toney unakuwa na kikosi cha uhakika kabisa....mda wte ni kuvamia majukwaa ya watu na kuwasemea mbovu...maana unajua hata goli la offside wapinzani hawapati
Mashabiki wa arsenal wanawaza fujo tu
 
Back
Top Bottom