Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal 22/23 - First 14 All Comps
• League Position: 1st
• Goals scored: 31
• Goals conceded: 11
• Clean Sheets: 7

Arsenal 23/24 - First 14 All Comps
• League Position: 2nd
• Goals scored: 32
• Goals conceded: 11
• Clean Sheets: 7

Mad
20231029_124726.jpg
 
Narudia statement yangu Nketiah ni MBAHATISHAJI ni kupwa kujaa anaweza akascore game 3 mfululizo then akaenda 5 to 10 games bila kuwa na assist wala goals so Nketiah kufunga leo sio ishu nikikuuliza Nketiah aliscore mwisho lini unaweza usikumbuke tunahitaji mtu wa kuoffer something kwenye team yetu kama walivyo wenzake
Ujue hatuna natural 9 na hata sokoni natural 9 wa kukupa 20 goals kwa msimu wanahesabika.

Yule Hojlund angekuja Arsenal angekua sehemu salama kuliko alipoenda
 
Kwa mwaka huu Nyumbu walitupa taulo kipindi Cha pre season

Kenge hawana ata hiko kitaulo Cha kutupa ulingoni

1. Arsenal NDOO
2. City
3. Spurs
4. ?

Newcastle, Liverpool, Brighton, Aston Villa, Fulham or westaham?
Ila Mkorea
 
Muda ni mwalimu mzuri

Sasa hivi hata yule pimbi wa Newcastle ameacha lectures zake za zisizo na kichwa wala miguu
 
Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
This season Spurs is different.

Misimu yote wanayomaliza juu yetu n.k hua wanabebwa na class ya wachezaji.

This season Spurs kama timu iko vizuri.
 
FOFANA ana energy kubwa Sana ,yule akija anakaa DM ,Rice LCM

ukuta wa Timber Magalhaes Saliba White


Hapo hupati goli hata la offside

Zubimendi nimemuangalia Sana na Arsenal walienda wiki iliyopita kumfatilia Tena

Zubimendi Ni Kiungo wa pass nyingi Sana ,pia press resistance, Zubimendi Hana tofauti Sana na Zinchenko

Na Kama tunampata Zubimendi Basi atacheza LCM ,Rice DM


Lakini mmemfatilia Charlie Patino ?dogo ameiva Sana na amesema anamtumia Saliba Kama mfano ,alipopelekwa mkopo alirudi na kuingia XI.


Patino kaiva Sana ,
Zubimendi ni Busquet
 
KAI mmepgwa ni Mc pekee amekua wa mwisho kuamini, Arteta mwenyewe ameshaanza kuelewa kuwa aliingia cha magufuli terminal.
Its fine.

Tunajua jamaa ni mbovu tangu yupo kwenu. Kocha kahisi anaweza kuzalisha kitu tofauti akiona kashindwa atasema atavunja mkataba kama kwa Auba na Willian
 
KAI mmepgwa ni Mc pekee amekua wa mwisho kuamini, Arteta mwenyewe ameshaanza kuelewa kuwa aliingia cha magufuli terminal.
Unakazania tumepigwa huchoki ?

Kila siku anacheza na anaonesha impact

Na uhakika Hakuna mchezaji hapo ukengeni ana rating za Kai

Unamsema Kai huku una wako jako


Msimu huu nafasi ya 15 inawahusu
 
This season Spurs is different.

Misimu yote wanayomaliza juu yetu n.k hua wanabebwa na class ya wachezaji.

This season Spurs kama timu iko vizuri.
Spurs bado hawajakutana na mechi dume

Bado hawana sifa za title contender

Mwaka Jana had January walikuwa nafasi za juu

Baada ya round ya kwanza Spurs atakuwa anagombea top 4

Ukimtoa Maddson timu inapwaya

Lakin Ni moja ya timu inaruhusu Sana kushambuliwa pamoja na wao kuwa wanapata magoli

Top 4 nawaona kabisa wakiingia
 
Back
Top Bottom