Mpaka Sasa Defence ngumu kuzifungua Ni Arsenal na Mancity anafata Chelsea ,shida hawa Chelsea tatizo Lao hawafungi magoli
Shots Faced:
City - 61
Arsenal - 76
Chelsea - 91
———————
Spurs - 115
Liverpool - 124
United - 145
Utaona hapo Spurs Ni moja ya timu inayoruhusu kushambuliwa Sana ,sawa na Liverpool,utofauti wao ni Liverpool ana safu Bora ya ushambuliaji
Manjesta hawa Ni timu inayoongoza kupelekewa Moto hata na watoto wadogo Kama kina Sheffield Burney hata Luton
Ili uingie kwenye mbio za ubingwa unatakiwa uwe vzr kwenye attacking na Defence
Mwaka Jana had kufikia mech ya 28 au 29 ,Arsenal tulikuwa Ni timu ya 2 kwa kuruhusu magoli machache ,kuumia kwa Saliba kuliharibu kila kitu
Spurs kufikia January had February atakuwa ametupa taulo
Nilisema hili wakati manjesta wanajiita title contender ,ilipofika February walitupa taulo