Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,559
- 19,759
Itabidi Arteta aingie sokoni atafute mbadala wa Partey.Huyu jamaa atupishe tu kwa kweli sababu pancha Zinamuandama Sana.
Jesus anapumzishwa kwa week moja kupunguza risk coz tunamhitaji zaidi huko mbeleni.Set to miss Jesus and Partey for couple of weeks
DCMs wanaocheza kama Partey ni wachache sana lakini replacement yake haikosekani sokoni.Itabidi Arteta aingie sokoni atafute mbadala wa Partey.Huyu jamaa atupishe tu kwa kweli sababu pancha Zinamuandama Sana.
DCMs wanaocheza kama Partey ni wachache sana lakini replacement yake haikosekani sokoni.
Douglas Luiz, Zubimendi, Yossouf Forfana, Joao Palhinha, Cheick Doucore, n.k.
Huyo Zubimendi ni upgrade kabisa ya Partey kwa soka la sasa
Unachotakiwa Kufanya Ili Ifunguke , Ingia Kupitia Any Browse Log In , Ikikubali Ku Log In Nenda Kwenye App U Log In .. Ukifanya Hivyo Thread Arsenal itakubaliThread ya Arsenal haifunguki kwa kutumia app, nini shida?
Yaani nyie ni kondoo. Hamumwamini spars ila mnamuamini Arse888.Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
👉Hizi sasa ni comedy. Meza ipi hiyo unaiongelea au meza ya kukaa mechi ishirini bila EPL, meza ya kukaa miaka 7 bila kumaliza top 4, meza ya kuwa na 0 European trophy.Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
Hahahaha, yule dogo NNT anajikuta anajua boli kuliko yeyote wakati ni famba mmoja tuZubimendi nimemuandika humu msimu wa usajili uliopita naona Twitter wamecharuka kumjadili kwamba tunamhitaji smh
Usajili kama wa take kubo ndo utazidi kutufanya tuwe wasindikizaji.Naona tumehusishwa tena na Zubimendi, tushushe hiki chuma hata January
Kisha kuna Take Kubo, kwa mnaofatilia anaweza kuwa back up ya Saka?
Kivip? Kuna shida gani akija kama back up?Usajili kama wa take kubo ndo utazidi kutufanya tuwe wasindikizaji.
Kama vile bahati ilivyotukuta sisi last season tukamaliza nafasi ya pili?Naona spurs wanatembea tu ila muda wao utafika. Bado siamini km Spurs wana timu ya kukaa nasi meza moja, sometime lucky inachukua nafasi kwenye mpira
Kama vile bahati ilivyotukuta sisi last season tukamaliza nafasi ya pili?
Ni kweli S-ppu***sy hawana timu ya ku-compete ubingwa this season?
Rashford kwa Sasa[emoji599]Arsenal and Ben White have now agreed terms over a new long-term contract extension.
Final details are to be ironed out over the next couple of weeks before the defender will officially sign his new deal.
Another important bit of business done by the club. Great stuff.View attachment 2794431
Nahisi Kubo hatokua zaidi ya pale, hype ilikua kubwa wakati yupo MadridHahahaha, yule dogo NNT anajikuta anajua boli kuliko yeyote wakati ni famba mmoja tu
Take Kubo unamuonaje?