OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
I think na Zenchenko hana miaka miwili pale kwa ArtetaKwangu mimi kuna wachezaji naona muda wao unakaribia within 2-4 years watalazimika kuondoka kadri tunavyopata quality players
ODEGARD. Jamaa anakosa nguvu,high intensity driving hasa tukikutana na team physical and pace natured.kwa aina ya team anayoijenga arteta ni suala la muda tu.LCM ni eneo ambalo anacheza constantly kwa kuwa hatujapata right player eneo hilo.
Kuna quality player siku akipatikana ambaye ana
Ball vision
Ball striking
Bird eye kwenye pasi ya mwisho
Ball dribbling
physical on and off ball
Kasi na uwezo wa kuzifungua low block team.
Siku akipatikana nawaambia Captain ode atakaa bench na atauzwa.
Arteta na Edu wanatafuta huyu mtu taratibu.
JESUS.Jamaa ni moja ya watu ambao ni very blessed.namfananisha na mtu anayemiliki AUDI ila haina staring.wote tunajua ubora wa AUDI ila ikikosa "steringi" value yake inapotea.Jamaa uwezo wake wa kufunga hata ile ball striking ni ya kawaida.ATAONDOKA hamalizi miaka miwili.
Kuna wachezaji sisi tunawaona permanent ila kwa arteta na kichaa wake edu ni wachezaji walioletwa kutengeneza reputation ya team ili kuvuta toptop quality players.ni kama trekta wanasafisha njia ila baadae wanabebwa na lowbed ili wasiharibu walichotengeneza.
Nketiah,nelson,Jog20 hata rowe wataondoka taratibu kadri quality players wanavyokuja.
Arteta anatafuta kwa nguvu mno mtu wa kumrithi partey hasa kutokana na majeruhi yake ila amegundua you don't get such a player coz you have money.
Kuna mengi kwenye kichwa cha arteta ambayo mashabiki na wachezaji hawayatarajii ila yapo.
RAMSDALE SAGA inapaswa iwe somo kwa kila mchezaji na shabiki kwamba kuna heights Arsenal inazitafuta na itamtoa sadaka yeyote ili kufikia malengo
Iyo siyo point mzee, apa suala ni kwamba arse8 bado ni timu haina uwezo wa kushiriki michuano mingi ndio maana unaona wanaanza kuishiwa pumzi mapema, hizi mambo tunaeza tu sisi chelseaChelsea imejichokea? Waulize liverpool wakuambie msako ulivyokuwa.
Chelsea msimu huu ana advantage kubwa sana ya kufanya zaidi na kumaliza kwenye nafasi za juu tofauti na msimu uliopita kwa sababu hayupo kwenye michuano mingi kama uefa.
Mnaweza mko na muchuano mingap msimu huu?Iyo siyo point mzee, apa suala ni kwamba arse8 bado ni timu haina uwezo wa kushiriki michuano mingi ndio maana unaona wanaanza kuishiwa pumzi mapema, hizi mambo tunaeza tu sisi chelsea
Hampingwi humu, invincible inaonekana ipo kabisa msimu huu.Dogo humu tunaongea habari ya Arsenal kuwa the invincibles, habari ya Arsenal kudominate Anfield / Etihad, habari ya Arsenal ku compete dhidi ya Pep Guardiola kwenye makombe, hapa hatuongei habari ya 'ooh tumecheza vizuri mechi nne zilizopita' sijui oooh bla bla bla. Understand?
Wewe livakuku ulipata point ngapi kwa hii CHelsea ya msimu huu?Achana na mambo ya Form bana, Jana Arsenal walikuwa Terrible vibaya mno lakini still waliweza ku managed to come back from 2 goals down .
Biggest rivals wako anachomoa goal 2 nyumbani kwako bado mnaona ni kitu cha kawaida.
FA, carabao na ligi.Madogo hivi mshacheza na Aston Villa??
Mjiandae kisaikolojia mkikutana nao
wewe nae na ma mu,mu yako.......Hii arse8 mpaka sasa siyo timu ya kuleta challenge kwenye ligi, yani hata zimebaki mechi mbili mutangaze ubingwa bado mutapigwa tu. Hii timu kwa sasa ni kama Azam tu apa bongo au Spurs flani ivi yani siyo timu ya makombe hii.. kama munabisha tusubiri huu musimu uishe muone kaa mutabeba hata bakuli. Achilia ile shilingi mlobeba ile siyo kombe maana haina stage yeyote ile.
Hii clab kuja kubeba makombe labuda arsene wenger arudi. Hamna timu humu ni uozo ntupu, takataka kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba nikukumbushe kaka, swala la mudy alitusumbui vichwa kwani Jana kafunga but aliyeletwa kuwa mbadala wake pia katimba ndani na kafunga, so automatic ilipunguza maumivu,
Ahsante kwa goli la Trosard...[emoji23]
Uzuri haubishi kuitwa cheltako which is good thing[emoji23][emoji23][emoji23]Hatushangilii ila ninyi mnashangalia kuchomoa tena dakika za lala salama. Mimba ilishatunga mka abort, pumbaf kabisa
Uzuri hamkatai kuitwa Nyau, hili nalo jamboUzuri haubishi kuitwa cheltako which is good thing[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiki ndicho kitu hamis hataki kukisikia,ana argue kama vile timu nyingine zinacheza golf tu.Leo Chelsea wamekamia sana sababu ni london derby na walikuwa vizuri kwenye pressing na arsenal dimba la kati leo liliyumba sana tukawa tunapitika kirahisi hivyo kuipa pressure kubwa back 3 yetu.
All in all we learn from mistakes,Tukumbuke kila team inajipanga kushinda hasa ikiwa nyumbani hivyo basi kwa ugumu wa mechi ya leo bado natoa pongezi kwa wachezaji wetu kupambana na kupata point 1 japo leo kuna wachezaji wengi walikuwa chini ya kiwango jorgi,ode, etc..Aluta Continua [emoji123].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio point tano mzee..6Kucheza vibaya kwa arsenal imesababishwa na ubora wa kimbinu na ufundi wa mpinzani wako na sio vinginevyo. Ifikie mahala muwe mnakubali wapinzani wanaowapa changamoto ili kujifunza zaidi kwa ajili ya baadaye.
Ile performance yenu jana watu wanalaumu absence ya Partey lakini tangu msimu huu uanze hajaanzishwa mechi ngapi na matokeo yalikuwa upande wetu?
Kumbukeni hadi sasa mnamzidi manchester United mbovu point 5 tu!
Wakati game ya AC MILAN na JUVENTUS inaendelea hapa, nimekumbuka moja ya comment ya super chambuzi humu ndani. Ikabidi nii search "leao" mpaka nimeipata.Huyo Zubimendi akiacha wenge la kutamani kwenda Barca ni Partey mweupe na mdogo.
Huyu Rice akija Arsenal atahitaji robo msimu au nusu msimu kutoa anachotoa Partey. Mchezaji mwingine ambaye watu naona wanamuimba ila hamna kitu ni Rafael Leao
Trosard ni mtu na nusu kaka sema tu arteta ajampa nafasi vya kutosha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaah kweli maumivu yalipungua.
Umeangalia game moja ili kupata hitimisho? 😂😂Wakati game ya AC MILAN na JUVENTUS inaendelea hapa, nimekumbuka moja ya comment ya super chambuzi humu ndani. Ikabidi nii search "leao" mpaka nimeipata.
Chambuzi liliona Rafael Leao ni hamna kitu kabisa, hiyo ni March mwaka huu.