hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kai alipoingia alifanya Hilo kwenye Aerial duelsNaamini Toney/ Osimhen + Diamonde km cover ya Saliba inatufanya tuwe the invincibles again.
kuwa na Toney / Osimhen/ Ferguson basi game ya jn tungeshinda, kuwa na CF mrefu anayeweza kuwin duels kunakupa dynamic tofauti za kuplay out na kupunguza mzigo kwa his teammates, sisi hatuna proper CF, CF wetu hawawezi kudominate aerial balls na kipengele kingine ni kufumania nyavu, Victor Osimhen ni mnyama kila angle.
Same vs City ,Silva na Colwill warefu Sana kuliko Jesus ndio maana alihangaika