Naona mnafurahia draw na mmefanya sherehe ya nguvuArsenal ina timu mbili ambazo ikicheza nazo sihofii.
Nyumbu na kenge. Mmoja kashatema points mwingine kapaki basi katoroka na points 2
WatumwaIla nyi jamaa, haiwezekani jukwaa zima muwe mnasikiliza ushauri wa watu watatu, masingeli na chawa zake. Amkeni nyinyi. Kataeni utumwa.
Zero UCL
Zero EUROPA
Mjitahidi next year mwende CONFERENCE league, japo tunajua na kule mtatia aibu tuu.
Siwezi kufurahia suluhu na kenge au nyumbu.Naona mnafurahia draw na mmefanya sherehe ya nguvu
Majibu?Game yetu na Liverpool pale Anfield kitanuka, hii mechi ni kipimo sahihi kama tutachukua ubingwa, uzuri Declan Rice yupo pale kati anachafua mwanzo mwisho.
SawaSio mechi, sema mazoezi ya kujiandaa na game ya Sevilla
Balaa MCHawa mashabiki wa ukengeni wamekuwa na kelele kashfa,mdomo mrefu
Hivi Kuna mashabiki walikuwa na mdomo Kama wa manjesta?
Tuliahidi kuliteka jukwaa Lao na Sasa limekuwa Gofu
Sasa Ni zamu ya hawa Kenge wa Darajani
Operation inaanza leo ,kuhakikisha jukwaa la ukengeni fc linakuwa Domant
Dharau zimezidi Sana
Sawa tumekuelewaTo do list today
-Laugh at man city
-Celebrate arsenal's win
-Laugh at chelsea
-Laugh at man united
-Save an andre onana meme
Kabisa kabisa. Haupingwi humu mkuuWametamba Sana Hawa Kenge FC , Ni muda Leo wakuliteka jukwaa Lao Kama tulivyofanya la manjesta mpaka Sasa limekuwa DOMANT
🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa kabisa. Haupingwi humu mkuu
Ni time ya Ramsdale kurejea golini sioni ambacho Raya kamzidi sana Ramsdale naye apewe game time sasa maana wote kwa kutoa maboko hawajambo but naona Raya katika game 4 za mwisho katoa maboko mengi sana Arteta ampe game time Ramsdale vs Sevilla
Ipi Chelsea? Hiyo mbona uhakika.Hii timu ni uozo mtupu umejaa humu