Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenzao Man Shitty waliweka mpk ahadi wataacha kutumia JF ila hawajatimiza na ilikuwa hivihivi wiki nzima walitufanyia Fujo weee ila ilipofika siku ya tukio baada ya kudundwa maneno yakawa meeeengi...sijui mara na wao waacheni wajipooze maana tumewafunga sana....sijui mara mwsho wa siku tutabeba kombe tu...kama tuliwauliza vile....Sasa na Hawa ni hivihivi unawaacha wabwabwaje wee...ikifika siku hyo tuombee tuwe na watu wte halafu tuone watachezea wapi huo mpira wao....
Yah tuwaache watambe na maneno mengi , jumamos sio mbali
 
Kevin Campbell on Declan Rice:

“A bargain £105 million midfielder, He has come in and looked like he has been at the club for ten years. He has come in and just adapted.”

“Adapted to the fanbase. The price tag to him is nothing. He just plays his game and his attributes just suit what we do.”

“We haven’t seen him enough besides Thomas Partey yet. But I think when those two play a number of games together they are just going to get better and better and better.”

(via HITC)
 
Kevin Campbell

“We haven’t seen him(Declan Rice) enough besides Thomas Partey yet. But I think when those two play a number of games together they are just going to get better and better and better.”
20231011_203334.jpg
 
Arsenal sporting director Edu Gaspar ametumia muda huu wa wiki mbili kutembelea klabu za Fluminense & Athletico Paranaense za huko Brazil ,

Edu pia ametembelea klabu za Corinthians & Palmeiras katika harakati za kusaka vipaji mbalimbali .
20231016_101112.jpg
20231016_101118.jpg
20231016_101123.jpg
20231015_223434.jpg
 
Points ngapi tunabeba hapa, mkorea

Arteta aweke full kikos , tunataka kuona WIN WIN WIN WIN

Dharau zimekuwa nyingi
20231016_102344.jpg
 
@FabrizioRomano:

“Arsenal have been monitoring Pedro Neto for some time & I can also say that Arsenal always keep monitoring the same players they like - Aston Villa midfielder Douglas Luiz remains one of them. He’s always been appreciated.”
 
Points ngapi tunabeba hapa, mkorea

Arteta aweke full kikos , tunataka kuona WIN WIN WIN WIN

Dharau zimekuwa nyingi View attachment 2783510
Game ngumu hapo ni luton town ambayo tunaicheza nayo 5 December
Waliobaki wote FIMBO zinawahusu. Yan goal 2+

Westaham tutamfunga ila kitachafuka Sana, coz ni derby

Newcastle anaweza akala mkono, hili ni kama tawi letu kwenye kukusanya maokoto ya points

Kenge sioni sababu ya kutaka kuingiza team uwanjani. Watupe Ushindi wa mezani tu ili kuepuka dhahama
 
Dah! Wachezaji wa kiafrika tunaongopa saana umri, napiga hesabu jezi hii mwaka uliotoka na jinsi partey anavyooneka sura hiyo ni tayari miaka 25 hivi.

huyu jamaa pale kwa Simeoni alikuwa hapati injury , kuja Arsenal kila siku injury ,means alidanganya umri ,na hii Ni kawaida kwa waafrika wanachelewa kwenda ulaya , Kama hapa anasema ana 30yrs , unaweza kuta amepunguza hata miaka mitatu

Hiyo jersey ninayo ni ya msimu wa 2011/12. Maana yake hapo alikuwa na 18yrs, watu wa West Africa huwa na maumbo makubwa ni sawa lakini ukitazama face yake inasuggest umri juu ya huo.

Inawezekana kabisa hata kina Arteta wamebaini hilo ndio maana pamoja na umuhimu wake bado unaona wanataka kumuachia.

Kama kweli yuko atleast 2yrs above current age ni ngumu kuepuka majeruhi ya mara kwa mara kwa level ya intensity ya mazoezi na mechi pamoja na high demands za kocha uwanjani. Labda ndio sababu pia Arteta anampa club doctor hata kwenye international duties.

Ndio maana, mara nyingi me huwa ni mzito sana kuquestion maamuzi ya watu ambao ni full time professionals (Arteta et al) na wanafanya kazi week in week out na hawa watu.

Kuna a lot of details ambazo ni undisclosed zinazo tumika kufikia maamuzi husika, sisi kama mashabiki mara nyingi tunaona mechi live na picha za mazoezini ila mengi ya ndani hatuna taarifa za kutosha.
 
Hizi ni assumptions ambazo unaweza shindwa ku-defend. Ina maana Jesus, Martineli, Tierney Vieira wanaoumia mara kwa mara nao ni kwa sababu ya umri.
Kwanini Mesi na Ronaldo hawaumii mara kwa mara?
Mere unproven assumptions
 
Game ngumu hapo ni luton town ambayo tunaicheza nayo 5 December
Waliobaki wote FIMBO zinawahusu. Yan goal 2+

Westaham tutamfunga ila kitachafuka Sana, coz ni derby

Newcastle anaweza akala mkono, hili ni kama tawi letu kwenye kukusanya maokoto ya points

Kenge sioni sababu ya kutaka kuingiza team uwanjani. Watupe Ushindi wa mezani tu ili kuepuka dhahama
Daaah mkorea.
Yan game ngumu ni luton
 
Hizi ni assumptions ambazo unaweza shindwa ku-defend. Ina maana Jesus, Martineli, Tierney Vieira wanaoumia mara kwa mara nao ni kwa sababu ya umri.
Kwanini Mesi na Ronaldo hawaumii mara kwa mara?
Mere unproven assumptions
Jesus amekuja kuumia Arsenal jeraha la goti na akatibiwa kwa surgery ili lisijirudie ,juz hapa walisafisha pale pale

Martinelli alipofika arsenal aliumia injury kubwa akatibiwa akapona ,amecheza muda mrefu bila injury had juz hapa akapata hamstring ndogo tu

Vieira nadhan kashapona lakin alikuwa anakosa fitness

Tierny huyu Ni injury prone,nakumbuka tulimnunua akiwa injury prone

But wachezaji wa Africa wanashindwa kutibiwa vzr wapone kabisa sababu hawasemi ukweli,
 
Hiyo jersey ninayo ni ya msimu wa 2011/12. Maana yake hapo alikuwa na 18yrs, watu wa West Africa huwa na maumbo makubwa ni sawa lakini ukitazama face yake inasuggest umri juu ya huo.

Inawezekana kabisa hata kina Arteta wamebaini hilo ndio maana pamoja na umuhimu wake bado unaona wanataka kumuachia.

Kama kweli yuko atleast 2yrs above current age ni ngumu kuepuka majeruhi ya mara kwa mara kwa level ya intensity ya mazoezi na mechi pamoja na high demands za kocha uwanjani. Labda ndio sababu pia Arteta anampa club doctor hata kwenye international duties.

Ndio maana, mara nyingi me huwa ni mzito sana kuquestion maamuzi ya watu ambao ni full time professionals (Arteta et al) na wanafanya kazi week in week out na hawa watu.

Kuna a lot of details ambazo ni undisclosed zinazo tumika kufikia maamuzi husika, sisi kama mashabiki mara nyingi tunaona mechi live na picha za mazoezini ila mengi ya ndani hatuna taarifa za kutosha.
Sahihi kabisa, kwa soka la partey kama ingekuwa si kupiga fix umri wake, hana mpinzani pale, lakini ndio hivyo akili inataka, Mwili unagoma.
Mazoezi makali(mvua inanyesha, pabovu panaonekana) 🤣
 
Anadharau sana huyu pimbi ,tutamnyoosha humu na kwa aibu kubwa hatochangia tena kwenye hili jukwaa hadi mwaka uishe .
Chelsea chama la wana ,Chama kubwa London , England na dunia nzima
, yan nacheka kama mazuri ila lijamaa kama limeziweka timu kama chelsea chini ya Luton lazima ukeleke sana kama shabiki ya chelsea
 
Back
Top Bottom