Nimepanga kwa order hiyo mkuuNi sahihi lakini Mketiah hapana
Game imeisha kwani?Tunatembeza mbata Tu na makonzi msimu huu na tunaanza kwenu asenyeto .
Dharau zimezidi sana epl ,madogo mnaletea dharau kwa kaka mkubwa Chelsea
Tabia ya Arteta hiyo, na sub atasubiria 75+ min.You rest key players only when you have justifiable reasons; I am not sure if arteta has a reason for leaving Partey out
Nilichokiona kwamba tumecheza chini ya kiwangoKama nyie mlivyokamia game ya City sio. Kubalini Poch kawazidi mbinu.
Na sema tu tuna attacking butu , asenyeto mlifaa kuwe mshakuka mbata 3-0
hahahaaaa aisee hata mimi sijamuelewaAliemuelewa huyu kaandika nini atusaidie..
Hii game sisi tunataka ushindi sio draw mzee...Hapa tupambane angalau tupate hata Draw,tuache kuamini matumaini ya kisenge anayotupaga huyu Mhuni HAMIS,kila siku huwa nampinga humu,lakini akianzaga kuwajaza upepo humu utadhani wachezaji wa Arsenal wana miguu mitano na wapinzani miwili,halafu anajiita mchambuzi nguli kumbe mchambuzi NYUMBU tu
Nasema hivi leteni huyo kilema wenu partey ,ikibidi leteni benchi zima ,tunapiga kama mbwamwizi leoIla kiungo ya Jorginho na Zinny haifanyi vizuri kama ilivyo kwa Zinny na Partey.
Pia tunapitika kirahisi tunaposhambuliwa.
Partey ni solid kwenye kila phase. Hope to see some improvement in J20's game today.
Ngoja uone second half tunachowafanya , hutarudi humu hadi mwaka uisheGame imeisha kwani?
Uachage ujinga wa kumshangilia yule Mhuni HAMIS anapokuja na VITAKWIMU vyake vya KISENGE kuaminisha watu ujinga,na wewe MKOREA ndio shabiki yake mkubwa kumbe hana lolote yule ni NYUMBU tuNilichokiona kwamba tumecheza chini ya kiwango
Au hamjaingia kwenye pattern zetu
Ila hakuna mbinu ambayo Hadi dakika hii imetupa presha.
Goal ni bahati mbaya kwa saliba. Kwenye maisha hivi vitu hutokea
Sawa mkuuNgoja uone second half tunachowafanya , hutarudi humu hadi mwaka uishe
Unatumia mihemko sana kuwasilisha madaKabla ya kuingiza timu uwanjani mungemuiliza mwenzenu Liverkuku kilichomkuta pale , tulimkimbiza mchakamchaka na kichura chura hakuamini