Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo Chelsea wamekamia sana sababu ni london derby na walikuwa vizuri kwenye pressing na arsenal dimba la kati leo liliyumba sana tukawa tunapitika kirahisi hivyo kuipa pressure kubwa back 3 yetu.

All in all we learn from mistakes,Tukumbuke kila team inajipanga kushinda hasa ikiwa nyumbani hivyo basi kwa ugumu wa mechi ya leo bado natoa pongezi kwa wachezaji wetu kupambana na kupata point 1 japo leo kuna wachezaji wengi walikuwa chini ya kiwango jorgi,ode, etc..Aluta Continua
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu kadri siku zinavyozidi kwenda tunapiga hatua moja mbele kisha hatua moja na nusu nyuma

Kwanini alianza Jorginho badala ya Partey?

Saka hakua fit kwanini kumuwahisha?

Zinchenko...?

Øde.....?
Nafikiri arteta anataka kujenga timu ambayo partey asiwe tegemeo pekee,
Kwa aseno ilipo ni bora jorginho aanze halafu partey aingie baadae na sio kinyume chake 😂😂😂.....

Pochetino anaendelea kujitafuta na sio kocha mzembe mzembe
 
Ila wewe ni boya kweli kweli, umehubiri sana kwenye majukwaa ya wengine kumbe litimu lenyewe ni hili la Kina Jesus wa Sao Paulo? Na mna bahati sana leo
 
Dakika kumi za mwsho ndo ilionekana kama nyuki wamefunguliwa.... Georginho hamna kitu mule....watu wanapita tu kati...akawa anawapa wakati mgumu mabeki
January siti wakiruhusu biashara,arteta akambebe Kavin Philips amfufue😆

Jorginho ni bora kwa kusambaza mipira asipokuwa na presha ila kwa mechi za vurugu vurugu ujiandae kwa lolote😂
 
Kabla ya kuingiza timu uwanjani mungemuiliza mwenzenu Liverkuku kilichomkuta pale , tulimkimbiza mchakamchaka na kichura chura hakuamini
Huyo Omar aliyekuwa anatumwa na Asenyau kule kwenye jukwaa letu nilimuuliza mliwaambia Arsenal ukweli kuhusu mechi ya kwanza na Liverpool. Nadhani alikuja kuwadanganya, hakuwaambia ukweli. Leo wangebana tusingewafunga za mapema, ile wamefungua kama Nguruwe aliyeko kwenye heat period tukaweka, Mudryk akaweka tena
 
Angalau matumaini ya kupanda top 4 sasa inaonekana wazi, Pochettino ashighulike na Sanchez maana namuona kama chizi vile, hayuko serious
 
Hii timu kadri siku zinavyozidi kwenda tunapiga hatua moja mbele kisha hatua moja na nusu nyuma

Kwanini alianza Jorginho badala ya Partey?

Saka hakua fit kwanini kumuwahisha?

Zinchenko...?

Øde.....?
Hamna timu pana ninyi, asingecheza Saka hiyo assist angetoa nani? RW angecheza nani
Na hii ndiyo itakayoifanya Arsenal msimu huu mshindwe hata kubaki top 4, mkikumbwa na majeruhi kama yetu ndipo akili yenu itaelewa maana ya deep squad
 
Hamna timu pana ninyi, asingecheza Saka hiyo assist angetoa nani? RW angecheza nani
Na hii ndiyo itakayoifanya Arsenal msimu huu mshindwe hata kubaki top 4, mkikumbwa na majeruhi kama yetu ndipo akili yenu itaelewa maana ya deep squad
Game na City Saka hakucheza na Jesus aliubonda vizuri tu tena zaid ya anavyokuaga namba 9 au mpira hukuangailia?? timu pana tunayo tena vizuri tu ila kuna maeneo kila kitu hayanaga upana hata ufanyeje,

Leo chelsea alikua bora zaid yetu wala hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…