Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia tena,wewe na mwenzako Hamis acheni kuaminisha watu humu ujinga,Mpira haujawahi kuwa rahisi hivyo
Wachambuzi nguli duniani kwenye combine ya arsenal na Kenge
Waneingia arsenal wote, Mimi kosa langu liko wapi hapo mkuu?
IMG-20231019-WA0003.jpg
 
Kenge vs Arsenal
Head-to-Head

[emoji762] Arsenal are also defending a proud record in London derbies on Saturday, having gone unbeaten through their last 15 Premier League meetings with fellow capital clubs (11 wins, four draws). That represents the third-longest such run in Premier League history.

Kenge enjoyed a 20-game streak between 2004 and 2006, while Arsenal themselves went 35 top-flight London derbies without defeat between 2001 and 2005.
 
Kenge vs Arsenal
Head-to-Head

[emoji762] Arsenal are also defending a proud record in London derbies on Saturday, having gone unbeaten through their last 15 Premier League meetings with fellow capital clubs (11 wins, four draws). That represents the third-longest such run in Premier League history.

Kenge enjoyed a 20-game streak between 2004 and 2006, while Arsenal themselves went 35 top-flight London derbies without defeat between 2001 and 2005.
Weka records za makombe ya maana
 

Kweli.
Hatujashinda hizi 'current' European competitions. Naona umepotezea hilo neno 'current' au haujaelewa maana ya hiyo post uliyoweka mwenyewe.
Kwenye post yangu nimeeleza kuwa Cup Winners Cup ilikuja kumezwa na UEFA cup. Siyo ilibadilishwa jina, ilimezwa nayo na yenyewe kama yenyewe kufutwa na UEFA.

Anyway, simple google tu itakuambia UEFA cup winners cup ilihusu Nini, kwamba iliendeshwa Kwa misimu 39 na kwamba iliisha msimu wa 1998-99.
 
chelsea fans have succeeded in intimidating arsenal fans into thinking the chelsea game gonna be a tough game.


2 weeks ago, i wasn't hearing chelsea even got a chance against us[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
emoji599.png
Wewe ni content creator and u like to work katika klabu ya Arsenal kama social media producer? Utahusika na

1.Kufanya interviews na wachezaji
2.kucover mechi za timu ya wanaume,wanawake na vijana wa Academy.
3.Content Kwa ajili ya akaunti na Channel za klabu

Link
emoji1313.png
chini

 
Lakini we need a disciplined team, jambo ambalo naona msimu Mikel kafanikiwa ku-instill
Ni kweli kabisa.. Nidhamu ya Saliba, White na Gabriel ndio inafanya defence yetu kuwa imara kuliko last season.

Nahisi ile title run imesaidia ukomavu kwa wachezaji wetu wengi, ukizingatia timu yetu ina vijana wengi wadogo.

Ongezeko la Rice ndio limeongeza uimara zaidi kwenye kiungo chetu.
Bado nasubiri kuona kiungo cha Partey, Rice na Ødegaard.. Wakizoeana na kukiwa hakuna injury za muda mrefu basi msimu huu tutaongea mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom