Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Itakua Arteta hamuheshimu kabisa mpinzaniJifunze kumheshimu Mpinzani,acha kuaminisha watu ujinga humu,hao wote ni wanaume 22 wenye miguu miwili kila mmoja,hata wale LENS uliaminisha watu ujinga mwisho wa siku tukagongwa,jifunze kumheshimu Mpinzani wako




