Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli wamfunga tano kama nilivyodhani.Sasa siendelei kuhesabu tena.
 
Hapa Haward Webb ndipo anapo-endorse doubts kuhusu maamuzi yake.

Nani na Rooney walikuwa Offside.
 
Angalia utajiri wa wachezaji,sasa Jin sun Park,na Ryan bado watawahenyesha hawa vijana ambao wameshachoshwa tayari.Wenger atakuwa amewaudhi sana washabiki.
 
Hongereni sana wakuu kwa kupunguza idadi ya mabao! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom