Ligi Ni marathon ,mim katika kitu ambacho Sina wasiwasi nacho Ni Arsenal kuwa top of the table ...
Ni team flani hivi average ya kitoto haina ambition ,hata tukiwaacha Arsenal na Spurs wakimbizane kugombea ubingwa Spurs will cook you ..
Mara nyingi team ndogo kama Arsenal season after season Ni kusherekea kuzifunga team kubwa ambazo walikuwa na mlolongo bila kuzifunga ,last season ubingwa wenu ulikuwa kuifunga united stoppage time ,ndio maana mlicelebrate kama vile mmechukua EPL ,the rest is history..
Ndio maana hata mashabiki wengi WA Arsenal psychological walishakuwa affect ,Uzi WA Arsenal unaweza fikilia labda wanadiscuss football , tactics na technique ,masikini ya Mungu ukiangalia comments zao Ni za kusikitisha ,maana unahisi Ni watu WA mirembe wapo jf wanajaza server za jf Kwa kuandika pumba tupu ,ila Ni haki Yao Kwa sababu simu Ni zao na Bando Ni Lao ......Sisi wenye Akili timamu tuaoelewa football kuingia Uzi WA Arsenal na kujipishana na watu waliozeeka lakin hawana knowlodge na football Ni matumizi mabaya ya Akili ,,siwezi kabisa absolute not ,..