Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,479
Huenda ingawa baada ya kutoka na Kuingia Partey niliona timu ili imarika kwa kwenda Mbele zaidiKwa maoni yangu Jorginho ana pasi nzuri, long balls na splitting passes kuliko uwezo wa kudefend
Huenda ingawa baada ya kutoka na Kuingia Partey niliona timu ili imarika kwa kwenda Mbele zaidiKwa maoni yangu Jorginho ana pasi nzuri, long balls na splitting passes kuliko uwezo wa kudefend
Umeongea vzr Sana ,ila sababu ya ushabiki watabishaTutachukua tu hata Liverpool walikuwa wanakosa kombe mara kibao tu lakini baadae wakalipata na sisi tutalipata punguza kukariri maisha usikae hapo ukafikiri Arteta na Arsenal yake hawajifunzi from mistakes ili wapate matokeo bora zaidi mwisho wa siku kuchukua kombe,i tell you this season is different last season city kachukua point 6 kwetu but now tumeshachukua 3 kutoka kwake na tunasubiri kukusanya more points from top 6 team na hakika msimu huu tutafanya kitu zaidi ya last season mark my words.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua kama ukizinatia ki 'pisi pisi', Mamacita ni wa kawaida/mbovu afu ana gubu ndiyo maana kumla mpaka tukose option na ikibida sana kama jana. Ila Manyumbu ni pisi kali hatuishiwi hamu ya kuila. Cheki hiyo picha jamaa aliyopost ya huyo wa Mamacita afu cheki na hii ya manymbu ambayo ndiyo tunaila deilehuyo demu angevaa jezi ya nyumbu ingekua poa sana
Ufungwe mechi 4 kati ya 8 za kwanza then uwe top of the table labda labda league oneKwa MTU anaejua EPL ,kujua makocha waliopo na mentality walizonazo harafu akaangalia hii table ilivo , ndio unaweza kudhibitisha kuwa kuna watu humu wanajiita Ni mafans WA Arsenal dish lilishayumba , ubingwa hapo bado mnoo ,Kwa table ilivo hata united anaweza kupush game 4 tu akawa top of the table ...View attachment 2776380
Kai namuona apambanie CF, namuona ana sifa nyingi za kucheza hapo kwa soka la kisasa ,Mimi wote siwakubali, ila naona Kai alichomzidi Eddie ni urefu tu. Pia supendi jinsi jamaa hana Nia ya kuprogress mipira Kwa mbele. Hata akiwa most advanced na amepewa long ball na Raya akabeat offside trap Bado atageuka na kurudisha mpira nyuma mpaka urudi Kwa Raya tena. Kai Bado ana kazi ya kujifunza mpira, siyo tu mpira wetu, bali mpira tu in general Kwa position tunayotaka acheze, ndiyo nitaanza kuona faida yake
Issue akikaa kati, nani atacheza winga ya kulia na atupe anachotupa Martnell?Ila kuna muda huwa naamini pengine martinell akikaa kati kama centre foward pengine tunaweza ona zaidi ya tunachoona
Mkuu naona umemkatia tamaa kijana wakoKai namuona apambanie CF, namuona ana sifa nyingi za kucheza hapo kwa soka la kisasa ,
Nketiah huu utakuwa Msimu wake wa mwisho, Arsenal dirisha lijalo wanaingia kusaka CF wa maana ,
Jesus atakuwa anacheza CF na pembeni
Nketiah ameshapewa nafasi ,soon anaachwa ,Tumeona kwa Aaron Rams,kaletewa Raya
White kila mechi anakupa rating ya 7 kaletewa Timber ambaye anatishia nafasi ya Zinny pia
Kai as CF tutafaidika Sana tofaut na Nketiha
Yes, kama kuna second runner wa kumtumia, sawa, hasa kwa mipira ya juu na move ihakikishe tunasona mbele. Ila shida ni hatusongi, tunarudi nyuma tena hadi kwa Raya mara zingine. Sifurahii kuwa jamaa hawezi au hataki kugeuka na kushambulia tukipata mpira, siyo ya juu wala ya chini. Naona kama anatucost moves nyingi (nadhani kuna mara moja Arteta aliongelea instance kwenye game ambayo Kai alirudisha mpira nyuma na alikuwa na nafasi ya kutusogeza mbele).Kuna kitu kimoja jana nilikiona baina ya Ederson- halland -alvarez kuna long ball alikua anazipiga Ederson halland anahold kwa fisrt touch alf alvarez anapita na mpira kama upepo alifanya kama mara mbili au 3 ivi, na last game KDB lituumiza kwa mpira wa aina iyo iyo.
Kwa uwezo wa Raya wa kupiga long ball kwa usahihi tunamuitaji Kai au new striker aina ya Toney kuna mipira ilikua inapotea sana tulikua tunamtegemea jesus pekee kwenye kufanya ivyo ila na yeye alikua yuko Wide kwaiyo nmemtaja Kai kwa kile nilichokiona kwenye game ya Jana,game ambazo anazokuepo na aina ile ya mipira tunayoitaji kucheza,
Kuna jamaa umu alikua analalamika sana kuhusu Arteta kua amekaliliwa na aina yake ya uchezaji ana akawa anahusu angalau kuna muda inabid tupige pasi 3/2 au moja kufika golini na kupata bao naona msimu huu kuna mabadiliko sana ya ivho kitu ambacho jamaa alikua anadai na kina matunda sana, nahis ni kati ya
-Castr
-ComputerArsenal
- Au zittor sina hakika saaana ila kama yupo naona anikumbushe kwaiyo sijamtaja Kai kwa bahati mbaya bro
Tomiyasu mpira upo katikati ila yeye yupo pale ambapo Xhaka alikua anakaa sikuamin kama atakua eneo lile yule jamaa.
Iyo Turn ya kwanza anazipiga sana Rice jana kapiga moja hadi nikaogopa kapiga uku kazungukwa na wachezaji wawili alf muda uo karud kuchukua mpira chini kabisaYes, kama kuna second runner wa kumtumia, sawa, hasa kwa mipira ya juu na move ihakikishe tunasona mbele. Ila shida ni hatusongi, tunarudi nyuma tena hadi kwa Raya mara zingine. Sifurahii kuwa jamaa hawezi au hataki kugeuka na kushambulia tukipata mpira, siyo ya juu wala ya chini. Naona kama anatucost moves nyingi (nadhani kuna mara moja Arteta aliongelea instance kwenye game ambayo Kai alirudisha mpira nyuma na alikuwa na nafasi ya kutusogeza mbele).
Kai amtafute Nafisa Ahmed ampe tips. Ni shabiki wetu huyu demu na pia ana bonge la left foot, ampe pia na shooting tips. Mcheki hapa kidogo
View attachment 2776596
Mimi niliamini Kai anakuja kucheza nafasi ya Xhaka. Tukianza kumuweka kama CF, yatakirudia yale yale ya Giroud. Tofauti ni Giroud alikuwa anaiwezea hiyo nafasi na ana maguvu ya kutosha. Anaweza kuhold na kutoa pasi kwa runner, anaweza kupiga vichenga vya kishikaji kujitenenezea nafasi, anashoot mara nyingi na kupata hata magoli machache, pia anahakikisha kafika kwenye box kumalizia cross hata kama hakuwa na mbio na wenxake walikuwa wanamtafuta kumpa pasi. Sioni KAI akiwa na mchango kama wa Giroud for a slow, tall CF. Ila tuendelee kumuombea mema maana ndiyo hivyo, tuko naeKai namuona apambanie CF, namuona ana sifa nyingi za kucheza hapo kwa soka la kisasa ,
Nketiah huu utakuwa Msimu wake wa mwisho, Arsenal dirisha lijalo wanaingia kusaka CF wa maana ,
Jesus atakuwa anacheza CF na pembeni
Nketiah ameshapewa nafasi ,soon anaachwa ,Tumeona kwa Aaron Rams,kaletewa Raya
White kila mechi anakupa rating ya 7 kaletewa Timber ambaye anatishia nafasi ya Zinny pia
Kai as CF tutafaidika Sana tofaut na Nketiha
Kwa mchezaji hata wa mchangani Temeke hizo ni basic turns sana ila ni effective. Sijui kwa nini vitu hivi sivioni kwa KaiIyo Turn ya kwanza anazipiga sana Rice jana kapiga moja hadi nikaogopa kapiga uku kazungukwa na wachezaji wawili alf muda uo karud kuchukua mpira chini kabisa
Nani ?Mkuu naona umemkatia tamaa kijana wako
Swali zuri sanaIssue akikaa kati, nani atacheza winga ya kulia na atupe anachotupa Martnell?
NketiahNani ?
Chogo wetu alikuwa mtu mbado sana, nakumbuka ile mechi tunamkanda Manjesta 3-1 walilala na viatu wale.Halaand asipokuwa na watu wa kumlisha mipira mtamalumu tu...maana hana mbio...hajui chenga...ypoypo tu...amekuta Man City ina wapikaji ila vngnevyo akiwa timu average na yy anakuwa wa kawaida sana....Henry ile ni machine nyingine...yule kichogo enzi zake alikuwa akifungulia turbo mkimbizane utatema bungo...eti siku hzi kina Mudryk nao wanaonekana wakimbiaji nao
Huyo dogo nilikuwa natumia had jina lake , but hatoshi kwa Arsenal hii ,Nketiah
Kai atakuwa anacheza CF au LCM pale panapohitajikaMimi niliamini Kai anakuja kucheza nafasi ya Xhaka. Tukianza kumuweka kama CF, yatakirudia yale yale ya Giroud. Tofauti ni Giroud alikuwa anaiwezea hiyo nafasi na ana maguvu ya kutosha. Anaweza kuhold na kutoa pasi kwa runner, anaweza kupiga vichenga vya kishikaji kujitenenezea nafasi, anashoot mara nyingi na kupata hata magoli machache, pia anahakikisha kafika kwenye box kumalizia cross hata kama hakuwa na mbio na wenxake walikuwa wanamtafuta kumpa pasi. Sioni KAI akiwa na mchango kama wa Giroud for a slow, tall CF. Ila tuendelee kumuombea mema maana ndiyo hivyo, tuko nae