Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 615
- 1,002
Leo sikumbuki kama alipiga shuti loloteYule jini baada ya kuwekwa kwa pocket mambo yakawa poa kidogo.
Good analysisNdio Maana sipend Nketiah kumuona kwenye hii timu
Pia sipend kumuona Kai as LCM
Kurejea kwa Partey ,means our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice
Napenda kumuona Kai as CF, anakusaidia vitu Kama hivo ,
Nketiah Ni mzururaji ,Arsenal wanarud sokon kusaka CF ,
Kwasasa Hakuna huruma
White ameletewa Jurrien Timber
Rams kaletewa Raya
Nketiah ni muda Sasa umefika atupishe
Yani city wakae position 4 afu watu waende break akijua juu yake wako kina arsenal na muhuni Liverpool ahhhhh weee leo
Atalambwa mtu
Mkorea kwenye moja na mbiliCity niliyokua naijua Mimi ni Kdb, bernado na gundogan
Gundogan amesha amsha
Kdb mgonjwa plus umri utaanza kuongea achana na fatigue
Bernado nae analazimishwa kucheza ila ni majerui yule
We are going to dominate each and everything inside and outside the pitch
#COYG
Sijaona sababu yoyote yakumchukia dogo nketia Bila sababu kwani nketia hachezi peke akeNdio Maana sipend Nketiah kumuona kwenye hii timu
Pia sipend kumuona Kai as LCM
Kurejea kwa Partey ,means our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice
Napenda kumuona Kai as CF, anakusaidia vitu Kama hivo ,
Nketiah Ni mzururaji ,Arsenal wanarud sokon kusaka CF ,
Kwasasa Hakuna huruma
White ameletewa Jurrien Timber
Rams kaletewa Raya
Nketiah ni muda Sasa umefika atupishe
Sema kaka ulikomaa sana,utazani mtabili unaejua kitatokea nini kesho.Msimamo kama huo city wa 3 arsenal wa 4 alafu akubali kufungwa akae wa 4 wakati chance yakuwapiga anayo leo
Neverrrr brother akai mtu wa 4
Dah Mimi sichukiagi mchezaji labda Kama hujuiSijaona sababu yoyote yakumchukia dogo nketia Bila sababu kwani nketia hachezi peke ake
Ni vyema ukakosoa kila mvhezaji na siyo kumuandama nketia pekee ake siyo sawa nashukuru kocha Ana imani nae kuliko wewe ulioko busa kwa mparange
Game na spurs kama partey angekuwepo, zile nafasi kina jesus wangeweka basi tungekuwa tunazungumza mengine.Dhidi ya Man utd 3 points
Dhidi ya Spurs 1 point
Dhidi ya Man City 3 points
Hii ndiyo maana ya timu kubwa.
Ukitaka kushinda Epl lazima uchukue pints kwa Big 6
We are gunners 💪💪
Mkorea Again kwenye moja na mbiliAingie partey
Aingie martinel
Wakutoka wanajulikana hapo
Tunahitaji transitional football, kufika goalini kwa city kwa mwendo wa pass haitakua materialized
Ulivyoona msako wa unatoa au utoi ukabadili kauliSasa Wenger orphans mkishindwa kuwafunga man City Leo hawana Rodrigo wala zeruzeru Sasa mtamfunga lini.
Come on jikazeni bwana.
Mkorea anajua Sana football ,najifunza Sana kwakweMkorea Again kwenye moja na mbili
Upo sawaDah Mimi sichukiagi mchezaji labda Kama hujui
Nketiah is not enough kwa Arsenal ndio maana Arsenal wanarudi sokon kusaka CF mwingine
Labda hukunielewa tu ,
Mkuu tupo pamoja sana, mpira mchezo wa wazi SanaMkorea Again kwenye moja na mbili