Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunacheza na Man city ile ile ya Pep ambayo tulichukua hii ngao mbele yao haya Manjesta utd,na Chelsea njooni tuwafundishe mpira[emoji1614]
20231008_130935.jpg
 
Arsenal ya maziwa,asali na Zabibu

Fully fit Arsenal team (bar Timber) for big Man City clash. 🤌
20231008_125823.jpg
 
Rico Lewis starts for Manchester City.
Sasa kama kwenye community shield Palmer aliwagonga Goli moja Kali ,Tena tukaja kujisawazisha wenyewe dakika ya 90 sembuse Lewis [emoji23] maana Hakuna mchezaji WA Arsenal aliyefunga ile game ...

Lewis atatawala Katikati Hamta Amin ,mpira Ni Akili na system
 
Yani pep akubali kufungwa 2 games streak
Akubali kubaki na 18 points ilihali akijua kuna wenzie
Wakipata 3 points leo yeye atajikuta wa 3 au 4 kwenye
Ligi kuelekea international break
 
Yani pep akubali kufungwa 2 games streak
Akubali kubaki na 18 points ilihali akijua kuna wenzie
Wakipata 3 points leo yeye atajikuta wa 3 au 4 kwenye
Ligi kuelekea international break
Hayo Mambo sio ya kukubali kwa amri yako, Ila unajikuta una amrishwa
 
Ikitokea city anafungwa leo na Liverpool anashinda
Leo msimamo unakuwa wa
1.Arsenal 20pts
2.Spurs 20pts
3.liverpool 19pts
4.City 18pts


Arsenal fans mtamsamehe bure city leo hata yeye
anakibarua kazi na legacy ya kutetea na sio kuwa
Baba huruma

A draw is goin to be a fair results honestly ila
mkijikuta wakahidi basi lolote litawakuta
Y'all be physical and mental prepared for anything
Coming from tactical master magician the Goat
Pep Guardiola


Master v/s Student
Tactics v/s Tactics
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom