Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ndio Arsenal tuna wapambe kila Kona achana na timu Zina mashabiki wawili

Pelly Ruddock Mpanzu (Luton Town) on facing Tottenham:

“I support Arsenal, innit, so it’s going to be a bit tasty! I’m Arsenal through & through, so if Tottenham come & win against me, it’s going to hurt.”

[@footballontnt] #afc*
 
Predicted Starting XI

Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Odegaard
Partey
Rice
Saka
Havertz
Jesus

Bench:
Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Viera, Trossard, ESR, Nketiah, Martinelli, Win the Gooner
20231006_110831.jpg
 
Mikel Arteta on how he would describe Arsenal in one word:

"Class. The behaviour, the people, what they transmit. The way the club does things, the way they treat these people. Be the best, win. That's what I've always associated with the club.

For me it's a class act." [sky]
20231007_135343.jpg
 
Bukayo Saka was in full training today and is likely to be included in tomorrow's match against Man City
 
Predicted Starting XI

Raya
White
Saliba
Gabriel
Zinchenko
Odegaard
Partey
Rice
Saka
Havertz
Jesus

Bench:
Ramsdale, Tomiyasu, Kiwior, Viera, Trossard, ESR, Nketiah, Martinelli, Win the GoonerView attachment 2774358

ukishamuanzisha partey na rice kwa pamoja.. zinchenko huenda akasubiri kwanza.

so it is either zini aanze full back af partey ama rice mmja wapo asubiri ama waanze wte partey n rice ila zinchenko ale mbao ndefu.
 
Sidhani hicho kitu ,ilikuwa kipindi kile sababu Zinny alikuwa majeruhi ,na lazima fullback mmoja afanya invert to Midfield.
 
Newcastle Ni klabu ndogo ,

Mchezaji kasaini mkataba mpya kaweka na Release clause ili next season asepe maana hapo Ni anapita tu halafu Kuna plastic fan wa hii timu anapiga kelele humu

Bruno Guimarães has a release clause of around £100m in his new Newcastle contract.

(Source: @FabrizioRomano)
 
Vipi manjesta maji kupwa maji kujaa

Kiukweli leo nitafutahi Sana mkipigwa

Raha ya kupigwa manjesta Ni zaidi ya kusex na Kim Kardashian
Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
 
Thus why nikijiita mchambuzi nguli Kuna watu wanajaa hasira na chuki

Football London wanasema kitu ambacho nilikisema Jana kwanini Kai akicheza CF itakuwa advantage kwetu ,

Kai Havertz playing upfront could be the key for Arsenal to beat Man City’s press tomorrow. Piece on why copying the Community Shield blueprint makes a lot of sense for #AFC

Screenshot_20231007-142254_1.jpg
 
Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
Leo mfungwe tu kwakweli ,

Hakuna Cha huruma Wala Nini ,
 
Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
Mki drop point itakuwa poa Sana

Maana Jukwaa lenu mmelitelekeza ,unakumbuka Pre season mliposhinda 2-0 ulivyotamba

Tuliwaambia tulikuwa tunafanya majaribio ,mkadanganyana mna timu ya ubingwa
 
Nilikuambia Rice hawezi kucheza lone DM, ukabisha. Umejionea sasa uchochoro uliopo.

Kutibu tatizo lenu la mid ni lazima Havertz awe shabiki tu (bench) Partey, Rice, Ødegaard ndiyo tiba ya tatizo lenu.

Ndiyo maana mpaka leo sielewi Arteta alikuwa anawaza nini kumnunua Havertz kwa £65m.

Tatizo lingine ni defence yenu yote mpaka kipa. Mkiambiwa mnabisha, Arsenal mmejaza tu watu na siyo quality.

Arsenal ni wachezaji wa 4 tu: Saka, Ødegaard, Rice, Timber. Wengine wanawapotezea muda tu.
Shabiki wa manjesta anakwambia Rice hawez kucheza Lone DM ,

Anafananisha Arsenal na manjesta ya 7hag
 
Back
Top Bottom