Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Halafu ndugu yangu Labyrinth 84 wewe una madini ya kutosha kuhusu mpira, hakika wewe unastahili haswa kua mchambuzi nguli.Yaani mtu anafungwa na lens lakini bado anamuona bayern ni wa kawaida kisa tu ushindi wake against man utd uliruhusu kufungwa goli nyingi na united.
United ni mbovu ila katika timu ambayo haitabiriki linapokuja suala la big games, maana inaweza kumfunga team yoyote ile sio city sio madrid sio Liverpool.
Man city kamfunga bayern na real madrid si kwamba ni team mbovu bali ni ubora wa city ni wa viwango vingine ,Arsenal hana ubora kulinganisha na city mpaka ajiweke kwenye upande wa kushinda game against hizi team 2.
Linapokuja suala la knockout stage approach ya hizi team ni tofauti kabisa na Group stage.
Tunakuomba uwe unakuja kwenye jukwaa letu la Man Utd unatupa mawili matatu tufaidike na mawazo yako chanya kuliko kumuachia Masingeli kila siku yeye ni kuchafua tu hali ya hewa.
Man Utd na Newcastle United sisi sote ni dugu moja, wote sisi ni watoto wa baba mmoja mzee United.
Mkuu Labyrinth 84 tunakukaribisha sana kwenye jukwaa la United tufaidike na busara zako.
Full Arsenal XI: Crazy Team