Ubora wa city hauko kwa wachezaji tu,ubora wao uko kwenye mfumo na tactics za pep.Its not about who plays or not,Kitu cha kupambana nacho ni kwenda against na mfumo wa pep kwa kutafuta loophole na kuzitumia kuwaadhibu.
Kama tukiingia kwa kuangalia kukosekana kwa rodri na kdb basi utashangaa kwa tutachokutana na nacho.
Strenth ya city ni mfumo na mbinu za mwalimu pep.unahitaji kushinda mechi do your homework on PEPs tactics and philosophy ila ukishughulika na wachezaji utaumia kwasababu yeyote anaweza akakaa hapo na akakupa almost kilekile anacho offer KDB AU RODRI.
Unajua kwanini man u na ubovu wao huwa wanaitungua city na ubora wao?.jamaa huwa hawaangaiki na quality ya wachezaji wa city toe to toe bali huwa wanaangalia blueprint ya PEPs philosophy na wanakuja na vaccine yake.kwa sasa ili kuifikia quality ya city unahitaji tajiri kichaaa na kocha ambaye ni gifted kwelikweli na a very proper scouting team.
City ana udhaifu mkubwa kwa team zinazocheza direct football na transitional football hasa zikiwa zinacheza kwa intensity kubwa.
Sehemu kubwa ya wachezaji wa city wanacheza intelligent football,yaan kuna uhusiano mkubwa kati ya mind yao,ball distribution,ball movement na positioning yao.so mchezaji na team ya aina hii lazima afikirie before decision making.Do you know what to do against such team and player?PROVOKE THEM.hii ndo mbinu pekee inayompa klop matokeo na ndo mbinu inayompa man u matokeo against city ya guadiola.
HOW DO YOU PROVOKE THEM?. Usicheze man to man utaumia jamaa wanaswitch haraka mno.usitafute kumiliki mpira mbele yao maana wanajua utapiga wapi pasi kabla hujapokea mpira.Usijaribu position play maana its the breath of their game play.
WHAT TO DO?provoke their mind kwa kukosa utulivu katika mchezo.avoid visible patterns of play kwa upande wako.Una SAKA una MARTINELL cheza direct football na transitional.Ruka baadhi ya phase za pitch yako kwa mipira mirefu na kasi kisha peleka mpira langoni kwao kwa kasi.
Usitafute sana v-passes au beautiful passes bali piga mashuti nje ya lango ukiwatumia TROSSARD,ODEGARD NA RICE.
Kila muda tafuta kupeleka mpira langoni kwao kwa high intensity na directly,sahau chenga na unnecessary dribbling kwa wingers na forwads wako.waambie kituo kiwe ni golini kwa city.iwe cross au long passes zinazovunja security patterns zao we hakikisha ubapeleka mpira mbele.ukiyafanya haya continously na usitumbukie kwenye mtego wa kuiga beautiful football yao jamaa wanafungika vizuri mno.
Battle ya mid kwa game za city huwa ngumu kutokana na nature ya uchezaji wao.winger wako wakiwa na kasi unazuia upuuzi wa fullbacks wao ku invert na kuongeza idadi ya midfielder wao hasa wanaposhambulia.
Hii game itaamuliwa na nidhamu ya team yetu.