Kaka tukiangalia current performance bora kwenda na nketiah kuliko kaiNketia mzinguaji zaidi kuliko Kai
Naunga mkono hoja matusi tuwaachie nyumbuLugha za matusi hazina faida wakuu, tujadili hoja matusi tuwaachie kina Kenge na Manyumbu
6 na 8 yupo anko Tom na Rice
Odegard juu yao anachezesha timu
Zinchenko anakuja Ku-overload midfielders
Saka na martinel wanatanua uwanja
![]()

Daah ila wazee huwa mna mikwara sana yaani ingekuwa mpira ni maneno saivi mngekuwa na kombe sijuii la ngapi mfululizo.
yaani kocha akisikia maneno yenu haya anaweza asilete team uwanjani.Nakereka sana na mashabiki wa manjesta ambao Ni wanafiki ,timu lenu limekuwa bovu haliwezi hata kupiga pass 10Naunga mkono hoja matusi tuwaachie nyumbuView attachment 2773961
Masingeli ni muongo balaaaMasingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028
Ngoja akapapaswe na Sevilla ndio atoke mchezoni mazima.Zilikua point 15-18 now tumeambiwa ni point 12-15 kila match zinavyozidi kuchezwa na point zinapungua![]()
akiwa Arteta ina faida gani kwa Arsenal??Kwenye tuzo ya coach Bora wa mwezi September
Kati ya hawa lazima mmoja aibuke kinara
Kati Mikel arteta au postecoglou wa Tottenham
Hawa wengine mwezi September walipoteza match moja kila mmoja
Hili swali linaulizwa na mtu aliyeenda shule kweli?akiwa Arteta ina faida gani kwa Arsenal??
Wewe pambana na Europa aiseeNgoja akapapaswe na Sevilla ndio atoke mchezoni mazima.
Akiwa Arteta Kocha Bora kuanzia January mpaka December,itaiongezea Arsenal points za kuchukua UBINGWA??kwamba kuna advantage ya Points 10 za bure kwa ARTETA kuwa Kocha Bora wa mwezi??wewe ndio unaleta taarifa UHARO zisizo na faida kwa mashabikiHili swali linaulizwa na mtu aliyeenda shule kweli?
Hivi Ni lazima nihangaike na comment zangu kujibu utumbo ?
Wewe unawashwa, nimekutag ?ukiona haikufahi ujue haikuhusuAkiwa Arteta Kocha Bora kuanzia January mpaka December,itaiongezea Arsenal points za kuchukua UBINGWA??kwamba kuna advantage ya Points 10 za bure kwa ARTETA kuwa Kocha Bora wa mwezi??wewe ndio unaleta taarifa UHARO zisizo na faida kwa mashabiki
Masingeli na Takwimu UCHWARA,mara duel won,mara inverted kumbe UHARO mtupuWewe unawashwa, nimekutag ?ukiona haikufahi ujue haikuhusu
Acha usenge
Tuna hamu nao sana hawa ndugu zao nyumbuzNaona wengi wanaquote game yetu ni kesho.
Hapana




. Tunaomba hata game iwe leo tuchukue points zetu 3.