Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huko sahihi 100%, Swali nalo jiuliza tutaweza kutumia chances tutakazo tengeneza kwa ufanisi mzuri (Critical finishing)

-Sababu city Kule mbele ana watu wenye njaa na wanaojua kuweka mpira kwenye Net.

-Arsenal big game uwa tuna tatizo la kutokumaliza mchezo mapema, alot of chances lakini End product haionekani.
Na msimu hatutengenezi nafasi nyingi kama msimu uliopita.

Kesho ni kipimo tosha kwetu.
 
We subiri kesho tuje kuwajazia nzi humu hapatakalika
Kesho mancity naiman atauona Moto wetu

Uzuri sisi hatutakaa nyuma

Aje kwa Step aisee

Kesho tuna midfield ya

Øde Partey Rice

Mbele

Saka Kai Jesus au

Saka Jesus Trossard

But Kuna sauti inaniambia Kuna surprise package ya Martinelli
 
Na msimu hatutengenezi nafasi nyingi kama msimu uliopita.

Kesho ni kipimo tosha kwetu.
Ode anashuka Sana chin kuhusika phase 2 pia hajihusishi Sana na kutengeneza nafasi ,anakuwa nje ya box kama kiungo mfungaji

Kifupi mfumo wa Sasa Øde sio kiungo mtengenezaji nafasi Bali amekuwa kiungo mfungaji lakin ana majukumu mengine ,muangalie anashuka chini kuchukua mipira

Utengenezaji nafasi tumeupeleka Zaid kwa wings ,

Tunazidiwa had na manjesta kwenye utengenezaji nafasi ,sababu tumeamua kuachana kumtumia no.10 kutengeneza nafasi
 
Na confidence tukianza hivi tunashinda

Mech vs city huwa Ni ujanja tu wa kufanyiana overloading

Jesus atatusaidia kwenye ,pressing, transition,kiungo ataongeza numbers

Kai atatusaidia kwenye pressing, kuongeza namba ya kiungo , anazurura uwanja mzima

Nketiah hatakiwi kuanza kabisa ,

20231006_110831.jpg
 
View attachment 2774675
 
Ni vema angerudishiwa majukumu yake, tukiwa tunatengeneza nafasi nyingi, tunaweza kufunga magoli mengi zaidi.
 
Hilo jukumu amepewa Kai ,lakin Sasa Kai bado kwenye utengenezaji nafasi anajitafuta

Kadri muda unavyoenda hiyo Role ataichukua Fabio Vieira au Smith Rowe ,

Kai anatakiwa atumike hasa False 9 ,

Rice Partey Ødegaard hii ndio midfield yetu tukitaka kutengeneza nafasi kupitia wings ili Øde na Rice wafunge cutbacks

But tukitaka kutengeneza nafasi Sana kupitia katikati Basi tunahitaji Midfield

Vieira/Rowe Rice/Partey Ødegaard
 
Manjesta walivyo hawana akili watakuja kupiga kelele humu
Hawajui kubaki na huyo kocha Ni hasara kubwa Mara Mia wangefungwa wapate kocha awanusuru mbeleni
Kaka usihangaike nao. Let 'em spoil their own soup. Ten Hag kama panya vile anang'ata mwisho anapuliza.. Wangefungwa na leo basi wangeanza kelele za kumuondoa kocha, hao ndio nyumbu!

Tutafurahi sana msimu huu mana ukiacha ushindi wa Arsenal, furaha nyengine huja Man Utd akipigwa.

Tuendelee kunywa mtori mkuu!😁
 
Kiungo hiki mancity alipiga on target 1 Mara ya mwisho

Pale mbele aanze Kai ambaye atatusaidia kushuka chini kusaidia kiungo

Au aanze Nketiah awe mzururaji
20231007_084425.jpg
 
Na confidence tukianza hivi tunashinda

Mech vs city huwa Ni ujanja tu wa kufanyiana overloading

Jesus atatusaidia kwenye ,pressing, transition,kiungo ataongeza numbers

Kai atatusaidia kwenye pressing, kuongeza namba ya kiungo , anazurura uwanja mzima

Nketiah hatakiwi kuanza kabisa ,

View attachment 2774675
Nketiah apewe nauli aje huku afrika kusalimia ndugu zake
Yan kwa kifupi show ya kesho haimuhusu ata kidogo
 
Wembe uliomnyoa Ramsdale unafata kwa Nketiah

Mechi ya kesho hatuhitaji watu wazururaji ,tunahitaji mtu anayeacha Jasho Lita 20 uwanjani

Midfield ya Ødegaard Partey Rice wanakimbia Sana , wanarudi nyuma kukaba ,wanaenda mbele sana

Kai aanze false 9 naimani kubwa atakuwa anahaha Sana pale mbele kufanya pressing na Jesus ,kitu ambacho tunakihitaji Sana

Mechi Kama hizi ambazo Kuna muda City atakaa Sana na mpira unahitaji wachezaji wanaokaa maeneo sahihi bila mpira , wanaokimbia Sana , wanao win 50/50

Mpaka hapo Nketiah hii mechi haimuhusu kabisa ,
 
Statistically Kai ni mchezaji wa mechi kubwa

Martinel hii game ilikua inamuhusu sana
 
Uchambuzi kuelekea mechi ya kesho

At the Community Shield game, we saw Arteta make tweaks on his high press. This time, Partey was a bit more conservative at his jumps on City pivot, and instead, Rice, who played as the LCM, tried to cover both pivots when Odegaard jumped

20231007_220822.jpg

In addition, Saliba was back and Haaland couldn’t create any superiority over him when City tried long balls.

20231007_221002.jpg
[

So Guardiola made tweaks at the half time. He increased the distance btwn Kovacic/Dias. This put Odegaard in a difficult position. Once City LCB received the ball, this time Rodri, right DM, started to move higher, and this put Rice in a difficult position to cover both pivots.

20231007_221104.jpg

In addition, Guardiola started using his right winger at the right half space and number 10 in left half space in possession. This put Partey in an intermediate position. As Walker offered width from right side, Arsenal LB also had hesitations to follow City’s RW.

20231007_221139.jpg

Arteta replied to this by saying “All-in!” and switched to man-to-man press over whole field.

20231007_221222.jpg

However, Pep immediately made his move. To create further conflict on Arsenal, he broke his symmetries and overloaded the left half space. Arteta’s reaction was to immediately go back to his original pressing structure.

Now Bernardo dropped to DM. During build-up, he further dropped next to CB. This blocked Odegaard to shadow inner channels. Using a left-footed player at this position offered extra time and a better angle to send the ball further in the left half space.

20231007_221337.jpg

Higher up, RW continued to move to right HS, while both LW and no 10 started to occupy left HS. As City LB also pushed higher, Arsenal RB couldn’t follow City’s LW. This meant Arsenal DM, Partey, to defend 3 players at the center, and he naturally struggled with it.

20231007_221413.jpg

Although Arsenal won the Community Shield game eventually, we left the tactical battle between two coaches at this point

Now, for the next game, the first question is:

Will Pep immediately start from where he left off, asymmetric structure, both full backs pushing higher and wider, overloading left half space, Bernardo playing pivot and dropping next to CBs during build-up?

My answer is no since the game will be in Emirates and it is a little risky rest defense structure. However, if the game state forces him to take more risks, he will be knowing he has a good option to progress through Arsenal press.
 
Uchambuzi kuelekea mechi ya kesho

At the Community Shield game, we saw Arteta make tweaks on his high press. This time, Partey was a bit more conservative at his jumps on City pivot, and instead, Rice, who played as the LCM, tried to cover both pivots when Odegaard jumped

View attachment 2774833

In addition, Saliba was back and Haaland couldn’t create any superiority over him when City tried long balls.

View attachment 2774837[

So Guardiola made tweaks at the half time. He increased the distance btwn Kovacic/Dias. This put Odegaard in a difficult position. Once City LCB received the ball, this time Rodri, right DM, started to move higher, and this put Rice in a difficult position to cover both pivots.

View attachment 2774838

In addition, Guardiola started using his right winger at the right half space and number 10 in left half space in possession. This put Partey in an intermediate position. As Walker offered width from right side, Arsenal LB also had hesitations to follow City’s RW.

View attachment 2774839

Arteta replied to this by saying “All-in!” and switched to man-to-man press over whole field.

View attachment 2774840

However, Pep immediately made his move. To create further conflict on Arsenal, he broke his symmetries and overloaded the left half space. Arteta’s reaction was to immediately go back to his original pressing structure.

Now Bernardo dropped to DM. During build-up, he further dropped next to CB. This blocked Odegaard to shadow inner channels. Using a left-footed player at this position offered extra time and a better angle to send the ball further in the left half space.

View attachment 2774841

Higher up, RW continued to move to right HS, while both LW and no 10 started to occupy left HS. As City LB also pushed higher, Arsenal RB couldn’t follow City’s LW. This meant Arsenal DM, Partey, to defend 3 players at the center, and he naturally struggled with it.

View attachment 2774843

Although Arsenal won the Community Shield game eventually, we left the tactical battle between two coaches at this point

Now, for the next game, the first question is:

Will Pep immediately start from where he left off, asymmetric structure, both full backs pushing higher and wider, overloading left half space, Bernardo playing pivot and dropping next to CBs during build-up?

My answer is no since the game will be in Emirates and it is a little risky rest defense structure. However, if the game state forces him to take more risks, he will be knowing he has a good option to progress through Arsenal press.
copy and paste,hapo utajiita mchambuzi nguli kumbe mchambuzi UHARO
 
Wembe uliomnyoa Ramsdale unafata kwa Nketiah

Mechi ya kesho hatuhitaji watu wazururaji ,tunahitaji mtu anayeacha Jasho Lita 20 uwanjani

Midfield ya Ødegaard Partey Rice wanakimbia Sana , wanarudi nyuma kukaba ,wanaenda mbele sana

Kai aanze false 9 naimani kubwa atakuwa anahaha Sana pale mbele kufanya pressing na Jesus ,kitu ambacho tunakihitaji Sana

Mechi Kama hizi ambazo Kuna muda City atakaa Sana na mpira unahitaji wachezaji wanaokaa maeneo sahihi bila mpira , wanaokimbia Sana , wanao win 50/50

Mpaka hapo Nketiah hii mechi haimuhusu kabisa ,
Nenda zako na UHARO wako KAI kima wewe
 
Hilo jukumu amepewa Kai ,lakin Sasa Kai bado kwenye utengenezaji nafasi anajitafuta

Kadri muda unavyoenda hiyo Role ataichukua Fabio Vieira au Smith Rowe ,

Kai anatakiwa atumike hasa False 9 ,

Rice Partey Ødegaard hii ndio midfield yetu tukitaka kutengeneza nafasi kupitia wings ili Øde na Rice wafunge cutbacks

But tukitaka kutengeneza nafasi Sana kupitia katikati Basi tunahitaji Midfield

Vieira/Rowe Rice/Partey Ødegaard
Kai false 9sijui Invert,sijui anawin duelna mafala wanakuona wa maana kweli kumbe KENGE tu
 
NILISEMA HAPA MARTINELL KUNA UWEZEKANO KESHO AKAWEPO

Leo Arsenal wamefanya mazoezi ila hawajaachia picha ,kwasababu maalumu

Napata taarifa hapa kwa moja ya chanzo nakiamini

Bukayo Saka expected to start against Manchester City. Gabriel Martinelli in contention to be in the squad also.
 
Hakuna aliyekuuliza Aunt Hamis acha shobo kwa wanaume
 
Back
Top Bottom