Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.
Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
Matokeo ya 2-0 ya pre season

Mkajimaliza

Sasa hivi vipi kuhusu hao manjesta?
 
Na hapo ndio mmeweka your strongest lineup dhidi ya Manchester United C hapo bado hajaingia Rashford,Casemiro,Onana,Ericksen leo naziona 5
Vipi kwasasa hii manjesta iliyoshinda 2-0

Mkatamba Sana ,

Au mmeshajisahaulisha ?
 
Jamani tunakumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau.
Hizi ni mechi za mwisho zilizochezwa baina ya Arsenyau na Mancity kwenye Epl.
Hapo Aggregate inasoma goli 15 - 3
Naomba tu msiniulize mwenye goli 3 ni nani?
1696678336947.jpg
 
Wana Arsenal wenzangu hapa kwa Rice tumepigwa na West Ham mchana kweupee
Cheki huyu ,mechi ya Pre season mlishinda 2-0


Ukatamba na kudai Rice Tumepigwa

Msimamo wako Ni upi ewe nyumbu Hadi sasa
 
Tuliposema Rice hawezi kucheza lone DM mkawa mnabisha. Watu wanapita tu, Havertz naye mmepigwa.
Na wajinga wenzako wakakupa na like na kukupongeza


Ujinga wenu mnamfananisha Mikel Arteta na Tapeli 7hag


Haya toka aumie Partey had anarudi Lone DM kakamatia Rice ,na manjesta yako aliikanda
 
Leo mapemaaaa Spurs anaenda kuonja zake kale kabaridi kule juu kwenye Top of the table, Arsenyau msimu huu kuja kukaa pale juu msahau kabisa.
Ni rahisi kwa chelsea kwenda kuchezea barafu lakini sio kwa Asenyau mjaa laana aliyekaa pale juu kwa siku 258, zimebaki mechi 8 bado anaongoza ligi kwa points 8 halafu inabaki mechi moja ligi iishe yeye yupo nyuma kwa points 8 jinga kabisaaa.
1696680015099.jpg
 
Umeongea uhalisia na umechambua vzr Sana ,thus why huwa sipiti bila kusoma michango yako


Ni moja ya watu wachache Sana wenye knowledge ya mpira


Ila nitapingana na wewe sehemu moja tu

Mancity kwa Sasa hagungwi na timu za kuvizia ,

Mancity utamfunga kwasasa kwa Quality yako na kupambana nae


Zaman ndio alikuwa anafungwa na Timu zinazovizia

Baadae akabadili mfumo kwenda 4CBs , mancity amekuwa Mara nyingi anatumia 4CBs + DM ,kulinda hapo tunasema mabeki watano bila natural Fullbacks


Hivo usitarajie timu za kijinga Kama man u kupata matokeo bila Quality


Unahitaji Winger mwenye speed sana kumshinda Fullback wao ambao Ni natural CB, ndio magoli wanayofungwa
Pamoja mkuu
 
ukishamuanzisha partey na rice kwa pamoja.. zinchenko huenda akasubiri kwanza.

so it is either zini aanze full back af partey ama rice mmja wapo asubiri ama waanze wte partey n rice ila zinchenko ale mbao ndefu.
Sio kweli
 
Recently, everytime we meet City, kuna key player wetu huwa ana miss.

Last season, game ya kwanza Emirates tulimkosa Partey ambae mfumo ulikua ushamkubali, akacheza Jorginho tukala chuma 3-1, though tulikua best team on the field.

Mechi ya marudiano Ettihad, kulimkosa Saliba akacheza Holding mwisho tukala chuma 4-1 na tulitawaliwa mwanzo mwisho.

This time may be different, though ilibaki kiduchu tumkose na Saka..

Nachotaka kusema safari hii odds zinaweza zikawa upande wetu coz wao wanamkosa mchezaji wao muhimu, Rodri.. So tuna nafasi nzuri ya kukatisha uteja wetu kwa City.

Mi nasema tusipomfunga Pep safari hii basi hatutamfunga tena mpaka atakapoondoka!
Huko sahihi 100%, Swali nalo jiuliza tutaweza kutumia chances tutakazo tengeneza kwa ufanisi mzuri (Critical finishing)

-Sababu city Kule mbele ana watu wenye njaa na wanaojua kuweka mpira kwenye Net.

-Arsenal big game uwa tuna tatizo la kutokumaliza mchezo mapema, alot of chances lakini End product haionekani.
 
Leo mapemaaaa Spurs anaenda kuonja zake kale kabaridi kule juu kwenye Top of the table, Arsenyau msimu huu kuja kukaa pale juu msahau kabisa.
Ni rahisi kwa chelsea kwenda kuchezea barafu lakini sio kwa Asenyau mjaa laana aliyekaa pale juu kwa siku 258, zimebaki mechi 8 bado anaongoza ligi kwa points 8 halafu inabaki mechi moja ligi iishe yeye yupo nyuma kwa points 8 jinga kabisaaa. View attachment 2774431

Acha makasiriko mkuu.
 
Leo mapemaaaa Spurs anaenda kuonja zake kale kabaridi kule juu kwenye Top of the table, Arsenyau msimu huu kuja kukaa pale juu msahau kabisa.
Ni rahisi kwa chelsea kwenda kuchezea barafu lakini sio kwa Asenyau mjaa laana aliyekaa pale juu kwa siku 258, zimebaki mechi 8 bado anaongoza ligi kwa points 8 halafu inabaki mechi moja ligi iishe yeye yupo nyuma kwa points 8 jinga kabisaaa. View attachment 2774431
 
Halafu Masingeli alivyo na IQ kubwa akishasikia hizo kejeli za Pep anakuja kujitapa humu kua Pep na Supa kompyuta wamesema Arsenyau ni bingwa wa top foo
Brentford anawanyoosha
 
Manjesta walivyo hawana akili watakuja kupiga kelele humu
Hawajui kubaki na huyo kocha Ni hasara kubwa Mara Mia wangefungwa wapate kocha awanusuru mbeleni
 
Back
Top Bottom