Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kumbe mnatengeneza timu...miaka yte mlikuwa wapi kutengeneza mkuu au mlikuwa championship huko....kama ni hivyo na sisi Sasa ndo tunatengeneza timu Sasa...ndani ya miaka 20 na sisi tutakuwa na makombe kibao kuliko nyny
Newcastle 3 -0 PSG 0 sometimes tukubali kupokea criticism toka kwa rivals tusipende kujitutumua but in reality team yetu ipo ipo tu
 
Newcastle 3 -0 PSG 0 sometimes tukubali kupokea criticism toka kwa rivals tusipende kujitutumua but in reality team yetu ipo ipo tu

anatengeneza team miaka 20 iliyopita still kroenke alikuepo sasa hapo unatengeneza nini.

Muelekeze huyo afanye kutofautisha kati ya team na false hopers (wauza matikiti)
 
Acha maneno mengi...sijui grup la kuwahiana sijui rotation nyng...HAPANA hiyo hatutaki...sisi leo tunataka tuone bolu likipigwa na binafsi ntakuwa bega kwa bega na ndugu Mbappe...Ramsdale mechi ya jana isingemfaa whether ukubali au ukatae....wale Lens wanapress vzuri sana...ile mipira angekuwa anabutuabutua sana na kutuweka under pressure...tunazungumza tactically hapa sio ushabiki...PSV mwaka jana ugenini si tulitunguliwa na Ramsdale akiwa pale golini na mechi tuliishika vzuri tu....kwhyo hyo sio sababu kwmba yy ni mzuri sana kuliko Raya....tunakubali tumefungwa...ongeeni ndugu zetu...ikifika saa nne usiku na sisi tunaanza kuwawangia....ize tu

IMG_1829.jpg

Utawanga wewe arteta na kai na Mackenzie lakini still itakuwa ni false hope
 
False Hopes Football Club. Ma super specialist wa F.A cup.

Bado hamuogopi kuendelea na UCL. Andikeni barua UEFA muombe kurudishwa EUROPA LEAGUE.

Tena hata EUROPA ni matumizi mabaya ya muda, maana kila mkienda mnatolewa nje.

Mrudishwe EUROPA CONFERENCE LEAGUE, huenda kule mkapata hata kakombe ka ulaya cha maana.
 
Oya ,kichaka Cha kujifichia kwangu ,Mara sijui naaminisha watu ,sijui Nini achana navyo

Humu watu Ni wazima ,Hakuna anayeshikiwa akili


Achana na hivo vichaka Rudi kwenye majukwaa yenu ,timu zenu zinapigwa daily


Kuja humu kutafuta vichaka hakuwezi kuwapunguzia maumivu
Wewe issue hapa ni wewe uache ujuaji we boya.
 
False Hopes Football Club. Ma super specialist wa F.A cup.

Bado hamuogopi kuendelea na UCL. Andikeni barua UEFA muombe kurudishwa EUROPA LEAGUE.

Tena hata EUROPA ni matumizi mabaya ya muda, maana kila mkienda mnatolewa nje.

Mrudishwe EUROPA CONFERENCE LEAGUE, huenda kule mkapata hata kakombe ka ulaya cha maana.
Mechi 2 tu za uefa tena group stage maneno mengi na bado kuna mechi kama 4 za kuamua kwenda mbele au kurudi nyuma maneno mengiii mambo bado mabichi kabisa kila mashindano....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa waliona lens kashinda jana wakasema kama dogo janja lens kashinda kwanini na sisi tusishinde , hawakujua kama lens alikutana na wauza matikiti wa london.
Hongereni sana mkuu Labyrinth 84 kwa ushindi mnono, jana lilipigwa soka la kiumeni sana pale St. James' Park, yaani unaangalia mpira huku nafsi ina enjoy.
Ukiachana na mechi ya Spurs vs Liverpool mechi yenu ya jana ni mechi ya pili bora kabisa kuangalia tokea msimu huu uanze.
Mentality ya wachezaji wenu inaonyesha kabisa hawa wameingia kushindana sio kushiriki kama Nyumbuz na Wauza matikiti wa London.
F7oAHj6XcAEf1t4.jpg
 
Back
Top Bottom