Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,665
- 2,556
Kuna mashabiki wa Arsenal ni mapimbi balaa. Pia nadhani ni madogo.Mbona watu wanatema nyongo kama vile arsenal hawezi kufungwa. Nimeamini kuna mashabiki wa arsenal viazi yani wanafata mkumbo . Mbona me naona ni kitu cha kawaida.