HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Exactly.Arsenal tumepoteza points kisa maamuzi ya marefa mwaka jana na msamaha tukaombwa kwenye scenario zaidi ya moja.
Maamuzi hayakua hivi
Najua kila timu na shabiki wamechoka apologies na PGMOL wanapaswa kuwajibika na kurekebika zaidi. Hapo kwenye kurekebika ndiyo tunataka, ili makosa yapungue au yakome kabisa na mchezo uendelee. Sasa mambo ya kutokupangia refa mechi za timu flani ni shida. Sisi pia tutaweza kusema tuna marefa kadhaa wanachuki nasi hivyo wasipanggiwe mechi zetu. Chelsea nao hivyo hivyo. Kila timu ikifanyiwa hivyo je?
