Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Hizi ndo false hopes tunazozisema kila siku. Ac milan alifungwa na lens akachukua UEFA , arsenal nae kafungwa na lens atachukua UEFA .
UEFA haichukuliwi kwa kufungwa na lens[emoji23]. Waulizeni chelsea, man utd na liverpool ni jinsi gani wanachukua kombe na si hivyo vi false hope vya kufungwa na lens ndo uchukue kombe.