Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umepata kwa kupumua Sasa

Ila manjesta Msimu huu nasema hivi mtakonda Sana

Yaan kumbahatisha Burney ,tayari mshaanza midomo

Hopeless Fc yaani Arsenyani mkibahatisha hata top4 msimu huu mimi nitawaonyesha paka mwenye vichwa vitatu, mafanikio yenu makubwa msimu huu ni kubeba ngao ya jamii




#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
#Jorginho Ballon d'Or
 
msimu huu utakuwa mrefu sna.. ni bora arteta aikache carabao na FA ;timu ibaki na UCL na EPL tu.

kikosi bado kina ishu ya fitness kwa wachezaji wengi tu na wengine naona watachezeshwa games nyingi sna kupita uwezo.. ni kuuwa viwango namna iyo.
Tuliwahi sema humu Saka angepumzishwa au sub zifanyike kwa wakati. Imagine Saka akiumia? ndio msimu utaishia hapo!

Sikuona essence ya Saka kucheza zaidi ya dakika 60+ mechi ya PSV. Tukiendelea hivi tutapoteza wachezaji muhimu kwa majeraha.
 
Tuliwahi sema humu Saka angepumzishwa au sub zifanyike kwa wakati. Imagine Saka akiumia? ndio msimu utaishia hapo!

Sikuona essence ya Saka kucheza zaidi ya dakika 60+ mechi ya PSV. Tukiendelea hivi tutapoteza wachezaji muhimu kwa majeraha.
Zitto junior huaga una uoni wa mbali sana ndugu yangu, mambo mengi hua unasema mapema kabisa halafu yanakuja kutokea vilevile, hawa wanaokubezaga humu ndani sijui huo ujasiri huwa wanautolea wapi.
 
Vipi kwenye game ya jana Rice alijaa vizuri?
Sometimes mnatakiwa mkubali zitto junior hua ana jicho la mwewe, jamaa hua ana maono ya mbali ni vile tu kuna watu humu wamejigeuza ni mitume na manabii, wao wakisema ndio sahihi halafu wenzao wakiongea wanaambiwa hawajui mpira.
Zitto junior japokua hua napenda kumzingua ila huyu jamaa ni miongoni mwa mashabiki wa Arsenal wanaojua mpira.
 
daaaahhh we jamaa ikifika mwisho wa msimu halafu hamjishinda kombe lolote kuna watu humu lazima wataongea kua zitto junior aliongea haya mapema kabisa lakini alikua anabezwa.
 
Bro mechi ya jana ilikuwa rahisi kwenye face zote,rahisi kuliko hata mechi ya everton,maana tot walikuwa wanafanya mistake nyingi sana wakati wanafanya build up,ile mechi mechi ilikuwa inaisha kipindi cha kwanza kabisa,point zote nne tulipoteza msimu huu sio kwasababu wapinzani walikuwa bora ila kwa sababu tumefanya makosa mengi,na jana kubwa lilikuwa la kiufundi,nketiah mechi nzima hakuwa kwenye form since filimbi ya kwanza,lakin kacheza dakika zote unawaza jana arteta alikwa amelewa ? au dabi imemfanya akaoverthinking,au Jesus alikosa goli kweli lakin alikuwa na mechi nzuri sana jana,unashangaa why alitolewa au aliomba kutoka,why usimtoe nketia mapema ukimpleaka kai kama force 9,then rowe akacheza number 8.asuimbui kudrop point ila point unadrop kwa nani,arafu siku hizi kila mechi kuna muda unafika tunaswitch off then tunaadhibiwa
 
Second half baada ya Rice kutoka kiungo chote kikapoteana au ulikua unaangalia mpira SofaScore kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…