Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta amenisikitisha sana kumsajili Kai Havertz. Hii inaonesha kwamba mpaka sasa hajafahamu mahali tatizo la Arsenal lilipo.

Paundi 65m kama angetulia na akaziongezea kwa kumuuza Balogun, Tavares na Nketiah angeweza kumleta pale Osimhen. Kai sijui amemleta kufanya nini.

Usajili wa Declan Rice na Timber ni mzuri na kwa sehemu utasaidia kuimarisha kiungo na ulinzi lakini still Arsenal inahitaji goalkeeper ambaye yupo serious.

Wachezaji wa kawaida kama Reiss Nelson, Fabio Vieira, Rob Holding, Cedric Soares, Nicolas Pepe na Sambi Lokonga wanatakiwa kuondolewa haraka.

Msimu ujao nategemea Arsenal itabakia kwenye top four lakini masuala ya ubingwa tuendelee kuyasahau.
Nawashangaa ndugu zangu wa Arsenal kuwa na matumaini msimu huu. Mimi nilishamaliza baada ya komenti hii. Kitendo cha kumsajili Kai basi nilishaona hamna jipya pale.

Arsenal itabakia top 4 lakini kamwe haitabeba ubingwa wa epl chini ya Arteta. Huyu kocha ni wa mid-table teams, hana uwezo wa kushindania makombe makubwa.
 
Ivi Jorginho pale alikua anawaza nini

Unajua tunaweza kulaumu mchezaji kumbe aliona ni kama wachezaj wenzie wanamsogelea kuchukua mpira aisee

Eneo kama lile time ina move shape ya ukabaki ishaharibika, iliyopo ni shape ya kushambulia alafu unakaa na mpira kiasi kile na option za pasi anazo nyingi kabisa
 
Baada ya mechi kasema kuna quality zilikosekana mbele, kwaiyo lazima akili imemuingia yule nketia yan dakika 20 za mwanzo game ilimkataa kabisa ila sijui aliona nini kumuacha hadi amalize dakika 100
Was played off position ila kiujumla ni mzigo wa mavi.
 
Wote tunacheza mpira pale mido, hii ndio tatizo

It's okey, Basi nafasi tuzitumie vizuri
Jesus, saka na Nketiah still wapo low sana

Mfumo wa Spurs leakage ipo upande wa saka, Kule ndio inabidi kuwa na supply kubwa ya mipira

Spurs kutotaka kucheza counter hii ndio inabidi iwe advantage yetu

yamekuwa haya tena si tulikubaliana mnataka mpira wa kupishana imekuaje unalalamika spurs wamegoma kucheza counter .
 
ARTETA na OVERTHINKING: Kirahisi sana Arteta katupa Points 4 kwa Maamuzi ya kufikiri kupitiliza. Gabi hajawa yule tangu ametoka Injury lakini bado ana-offer mengi kumzidi NKETIAH. Msimu uloisha Arteta ali-overachieve Mana kila Fans hakutegemea Timu kuwa kwenye Title Charge.

Ameweka Standard na HOPES kwa kila Mtu jambo ambalo ni baya na zuri mana kila mtu anakuwa Nyuma yake, Changamoto kuna Level anaamini kafika ila Bado asee, Ilikuwa amwache Partey kirahisi sana Summer, Nawaza tu ikitokea Injury kubwa kwa Rice hali itafananaje! Xhaka kaondoka kirahisi sana ila Jamaa ni kiongozi haswa tofauti na Ode jamaa ana Spirit na Utemi flan muhimu hamfanyiwi Bullies.

Jorginho ni Typical D.L.Playmaker unamweka katikati ya MD's wanaopenda Duels, Sarr na Bissouma na zaidi wako Comfortable na Mpira.
NKETIAH Shida kubwa sana hapa Sijui Arteta anataka waaminisha Nini Shabiki, Jamaa ni Player kariba za Bournemouth na Palace huko. Summer alitakiwa aweke Vlahovic/ Osimhen au Bajeti ikiwa ndogo sana hata Jonathan David or loan Joao Felix.

Safari ndefu sana but Pep anapaki basi na Nottingham unaona Maturity kwake na Players kwamba Matokeo ndo kinacho-matter. PROJECT KAI ni ya kuingia taratibu katika timu! By the Way 𝐌𝐢𝐜𝐤𝐲 𝐯𝐚𝐧 𝐝𝐞 𝐕𝐞𝐧 huyu dogo ni tatizo jipya EPL
 
Game katuua arteta hii, why alimtoa jesus, yeye ndio atleast alikuwa anawachachafya mabeki wa wapinzani.

Tushazidiwa kwenye midfield toa nketia tia smith rowe.. jesus anaenda kucheza kama 9(faida yake huyu huwa anashuka chini anaongeza nguvu kwenye kiungo.
Smith rowe anaenda kucheza winga ya kushoto lakini anaingia ndani kuongeza nguvu ya midfielders.
Kama smith rowe hata mpango nae angechukua ule mpunga wa Chelsea... Li KAI linapata muda mwingi wa kucheza, apewe nafasi smith rowe.
Rice katolewa kisa nini sasa?

Kina nketiah hata nguvu wala uchungu wa kupambana hakuna..
Ni upuuzi mtupu,
Arteta kagharimu timu leo.
 
Wazee wa mipira ya kupishana na jezi kurushwa juu wachezaji wagombanie, naona mnatoa lawama kwa nkentiah na wengine wakati mnajua kabisa utaratibu mliojipangia wa jezi kurushwa juu.

Iko ivi kama kawaida genius arteta alirusha jezi juu , Nketiah ndo alikuwa mchezaji wa kwanza kudaka jezi ikiwa bado ipo hewani na hii ndo sababu kuu ya kumaliza dakika zote 100.

Jorginho na rice walishika jezi at the same time ikaamuliwa kwa busara kila mmoja apige 45 kuondoa mtafaruku. Sasa napoona tunamshambulia genius arteta na wakati tulikubaliana kabisa kutokana na upana wa kikosi lazima tutafute njia ya kupanga first eleven.

Huu ndo mwanzo tulieni mengi yanakuja huko mbele sio mnacheza na everton na psv kelele zinakuwa nyingi humu.

Kumbusho hili limeletwa kwenu kwa hisani ya EIGHT different goalscorers from NEWCASTLE.
 
ARTETA na OVERTHINKING: Kirahisi sana Arteta katupa Points 4 kwa Maamuzi ya kufikiri kupitiliza. Gabi hajawa yule tangu ametoka Injury lakini bado ana-offer mengi kumzidi NKETIAH. Msimu uloisha Arteta ali-overachieve Mana kila Fans hakutegemea Timu kuwa kwenye Title Charge.

Ameweka Standard na HOPES kwa kila Mtu jambo ambalo ni baya na zuri mana kila mtu anakuwa Nyuma yake, Changamoto kuna Level anaamini kafika ila Bado asee, Ilikuwa amwache Partey kirahisi sana Summer, Nawaza tu ikitokea Injury kubwa kwa Rice hali itafananaje! Xhaka kaondoka kirahisi sana ila Jamaa ni kiongozi haswa tofauti na Ode jamaa ana Spirit na Utemi flan muhimu hamfanyiwi Bullies.

Jorginho ni Typical D.L.Playmaker unamweka katikati ya MD's wanaopenda Duels, Sarr na Bissouma na zaidi wako Comfortable na Mpira.
NKETIAH Shida kubwa sana hapa Sijui Arteta anataka waaminisha Nini Shabiki, Jamaa ni Player kariba za Bournemouth na Palace huko. Summer alitakiwa aweke Vlahovic/ Osimhen au Bajeti ikiwa ndogo sana hata Jonathan David or loan Joao Felix.

Safari ndefu sana but Pep anapaki basi na Nottingham unaona Maturity kwake na Players kwamba Matokeo ndo kinacho-matter. PROJECT KAI ni ya kuingia taratibu katika timu! By the Way 𝐌𝐢𝐜𝐤𝐲 𝐯𝐚𝐧 𝐝𝐞 𝐕𝐞𝐧 huyu dogo ni tatizo jipya EPL
Nilisema toka game ya mwanzo arteta anamtumia partey as RB, asijikute mjuaji saana, ashikilie alipoishia msimu uliopita.

Mgema akisifiwa tena, tembo anatia maji.
 
Nawashangaa ndugu zangu wa Arsenal kuwa na matumaini msimu huu. Mimi nilishamaliza baada ya komenti hii. Kitendo cha kumsajili Kai basi nilishaona hamna jipya pale.

Arsenal itabakia top 4 lakini kamwe haitabeba ubingwa wa epl chini ya Arteta. Huyu kocha ni wa mid-table teams, hana uwezo wa kushindania makombe makubwa.
"Huyu kocha ni wa mid-table teams, hana uwezo wa kushindania makombe makubwa"

Subiri vijana wa Masingeli waje kukushambulia kwa kumuita Mateka ni kocha ni wa mid-table teams, wenzako wamempachika mpaka vyeo vya Masterclass, Tactician, Genius wanasubiri tu msimu huu wabebe Uefa wamuite Special One kabisa
 
Ivi arteta anaona nini kwa KAI ??
Ivi arteta haoni nini kwa ESR??
Sometimes kushabikia arsenal ni mateso
 
Wazee wa mipira ya kupishana na jezi kurushwa juu wachezaji wagombanie, naona mnatoa lawama kwa nkentiah na wengine wakati mnajua kabisa utaratibu mliojipangia wa jezi kurushwa juu.

Iko ivi kama kawaida genius arteta alirusha jezi juu , Nketiah ndo alikuwa mchezaji wa kwanza kudaka jezi ikiwa bado ipo hewani na hii ndo sababu kuu ya kumaliza dakika zote 100.

Jorginho na rice walishika jezi at the same time ikaamuliwa kwa busara kila mmoja apige 45 kuondoa mtafaruku. Sasa napoona tunamshambulia genius arteta na wakati tulikubaliana kabisa kutokana na upana wa kikosi lazima tutafute njia ya kupanga first eleven.

Huu ndo mwanzo tulieni mengi yanakuja huko mbele sio mnacheza na everton na psv kelele zinakuwa nyingi humu.

Kumbusho hili limeletwa kwenu kwa hisani ya EIGHT different goalscorers from NEWCASTLE.
Labyrinth 84 unajua utani unaofanana na ukweli hua unauma sana ndugu yangu?
Hawa Kima wakikuonaga humu huwa wananuna mpaka wanakaribia kupasuka ujueeee
 
"Huyu kocha ni wa mid-table teams, hana uwezo wa kushindania makombe makubwa"

Subiri vijana wa Masingeli waje kukushambulia kwa kumuita Mateka ni kocha ni wa mid-table teams, wenzako wamempachika mpaka vyeo vya Tactician, Masterclass wanasubiri msimu huu wabebe Uefa wamuite Special One
Flano uko nafasi ya ngapi mkuu?
 
Labyrinth 84 unajua utani unaofanana na ukweli hua unauma sana ndugu yangu?
Hawa Kima wakikuonaga humu huwa wananuna mpaka wanakaribia kupasuka ujueeee
Acha kumjaza.
We know arsenal na hakuna mtu humu anaumizwa na matokeo mabaya ya arsenal kama huyo jamaa.he is an arsenal die hard fun in rivalry disguise.
Tunamheshimu.critics zake always nazichukulia positively kwasababu najua ana maumivu makubwa ya kiushabiki.
 
Labyrinth 84 unajua utani unaofanana na ukweli hua unauma sana ndugu yangu?
Hawa Kima wakikuonaga humu huwa wananuna mpaka wanakaribia kupasuka ujueeee

Mimi nawakumbusha maana hawa false hopers huwa wana tabia ya kusahau haraka sana ndo maana unaona kulishwa false hope hawaachi maana inafika kipindi wanasahau kama yale ya mwanzo yalikua matumaini bandia

Jana tu hapa walitoa proposal baada ya kushinda na psv wanataka wacheze na man city tu ili kujua ubingwa apewe nan. Tukawasikiliza tukaona hivi huyu arteta na pastor Mackenzie wa humu ndani wanawalisha nini hawa binadamu mpaka inafikiwa kutoa kauli kama hii , tukakubali basi kama ni ivyo ngoja tuwape hawa spurs hapo hapo emirates mkiwafunga basi tupi tayari kusikiliza ombi lenu. Now naona wanaanza kulaumiana wameshasahau kabisa proposal waliotoa humu ndani .
 
msimu huu utakuwa mrefu sna.. ni bora arteta aikache carabao na FA ;timu ibaki na UCL na EPL tu.

kikosi bado kina ishu ya fitness kwa wachezaji wengi tu na wengine naona watachezeshwa games nyingi sna kupita uwezo.. ni kuuwa viwango namna iyo.
 
Back
Top Bottom