Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rice kaumia calf
Pengo la Partey limeonekana kabisa leo.... Jorginho sijui huwa anawaza nn yule jamaa....ametuchomesha goli la kipumbavu kabisa....point 4 ni nyng sana kumfukuza City....na naona watu wanatoka wanachechemea kabisa....tuombe wiki mbili hzi tuwe na kikosi kamili vngnevyo tukikutana na wale mabraza....tutawaeleza vzuri ile siku ya community shield kile kimbelembele tulikitoa wapi
 
Hii imeenda...na magoli yenu ya penalt kila mechi

Screenshot_20230924_180411_All%20Goals.jpg
 
Tukiweka ushabiki pembeni bado city ni bingwa tena kwa Mara ya 4 mfululizo tu.

japo kukubali ndo uwa ni ngumu Ila sioni timu ya ku battle na city msimu pamoja na injury lakini bado wapo imara inaumiza kwa timu nyingine kuwa tumekuwa wasindikizaji tu.
Haya maneno umesema baada ya Spurs kuwanga'ang'ania
 
Joginho,nketiah hawa ni squad player tu.
Zin mech kama hizi hasa kama hakuna mido kama partey,hauna winger anayeshuka kama martinell na hauna a very compct midifield duo ambayo inaweza dictate mchezo,ni bora kumuacha nje.

Vinginevyo unawapa kazi ya ziada sana centre backs
 
Yaani anakuwa mzururaji tu maamaaeee....
 
Back
Top Bottom