Huyu sio mpambanaji kwahiyo sio rahisi kuumia wa hivi huwa hawaumiiAlafu cha ajabu haumwi wala kuumia.... Yaani fitness ni 100%. Ilihali watu muhimu kama Martinelli ndio wanaumia.
Huyu sio mpambanaji kwahiyo sio rahisi kuumia wa hivi huwa hawaumiiAlafu cha ajabu haumwi wala kuumia.... Yaani fitness ni 100%. Ilihali watu muhimu kama Martinelli ndio wanaumia.
Kwa maoni yangu nadhani bado hatuna timu ya kushindania makombe makubwa, labda top four ubingwa tumuachie city ata tukiushinda itakuwa ni bahati tuu.
Partey haruhusu dharauBissouma jana katakata haswaa... Nadhani tungekuwa na partey tusingeteseka kiasi kile..
Pekee yake linaweza kuwatuliza wapinzani pale kati.Partey haruhusu dharau
Mkuu acha utani.yaani huyaoni maana yake ulikuwa unayatafuta.Mimi sitaki awepo kabisa mpuuzi anacheza akiwa na midtable team mindSioni maisha ya Eddie nketiah pale arsenal
Ili uigilizie au?taja yako kwanza ndo tuendeleeMwaka huu mna malengo gani, nyie hopeless fc
1.??
2.???
3.????
Nyie hakuna kitu mna achieve, yenu ni kusalia EPL.Ili uigilizie au?taja yako kwanza ndo tuendelee
Leta hoja tu discuss....inaonekana msimu huu hatutakiwi kufungwa maana tume draw tu walimwengu mmetushukia kwlikwli🤠🤠🤠....Man U naangalia ratiba yenu nione ni wiki gani mtaanza kumtukana bwana Rashidi Makame tena kwa ubinafsi wake🤠🤠🤠....
Zimechezwa mechi sita mkuu...tupo nafasi ya Tano.....mwezi wa 12 ule msimamo pale juu utakuwa umebadilika kabisa🤠🤠🤠....Man City ndio wasumbufu ila Hawa ndugu zetu wengine ni suala la muda tu🤠🤠🤠Nyie ni Leicester city 20216 iliyochangamka