Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hichi kiungo nazi ndiyo mnafananisha na watu wa kazi? Kweli Arsenyani! 🤣
20230924_220350.jpg
 
Mimi nawakumbusha maana hawa false hopers huwa wana tabia ya kusahau haraka sana ndo maana unaona kulishwa false hope hawaachi maana inafika kipindi wanasahau kama yale ya mwanzo yalikua matumaini bandia

Jana tu hapa walitoa proposal baada ya kushinda na psv wanataka wacheze na man city tu ili kujua ubingwa apewe nan. Tukawasikiliza tukaona hivi huyu arteta na pastor Mackenzie wa humu ndani wanawalisha nini hawa binadamu mpaka inafikiwa kutoa kauli kama hii , tukakubali basi kama ni ivyo ngoja tuwape hawa spurs hapo hapo emirates mkiwafunga basi tupi tayari kusikiliza ombi lenu. Now naona wanaanza kulaumiana wameshasahau kabisa proposal waliotoa humu ndani .
kumbe na wewe ile proposal uliiona?
Aiseee mi nilivyoona ile kauli nilibaki mdomo wazi nikawa nasali kimoyomoyo ili wewe usije ukaiona maana nilijua ukiiona tu mzee wa maevidence na mavivid examples basi tayari Arsenyau wamekwisha
Ile wewe jamaa uwepo wako humu hua ni faraja kubwa sasa kwetu sisi wapinzani wa Arsenyo.
 
Nazidi kumuelewa pep kwanini kila dirisha ananunua na kuuza baadhi ya wachezaji unoweza kuwaona wa muhimu

hii draw imeanza kufanya akili ziwakae sawa , bado kidogo tu akili zitakuwa zimewakaa sawa sawa kabisa.

Mbona kama vile unataka kumtupia lawama arteta hata na yeye ananunua na kuuza baadhi ya wachezaji wa muhimu , shaka kauzwa then kaja kai havertz, Rice kanunuliwa then kauzwa lokonga sasa shida iko wapi.
 
kumbe na wewe ile proposal uliiona?
Aiseee mi nilivyoona ile kauli nilibaki mdomo wazi nikawa nasali kimoyomoyo ili wewe usije ukaiona maana nilijua ukiiona tu mzee wa maevidence na mavivid examples basi tayari Arsenyau wamekwisha
Ile wewe jamaa uwepo wako humu hua ni faraja kubwa sasa kwetu sisi wapinzani wa Arsenyo.
Umepata kwa kupumua Sasa

Ila manjesta Msimu huu nasema hivi mtakonda Sana

Yaan kumbahatisha Burney ,tayari mshaanza midomo
 
hii draw imeanza kufanya akili ziwakae sawa , bado kidogo tu akili zitakuwa zimewakaa sawa sawa kabisa.

Mbona kama vile unataka kumtupia lawama arteta hata na yeye ananunua na kuuza baadhi ya wachezaji wa muhimu , shaka kauzwa then kaja kai havertz, Rice kanunuliwa then kauzwa lokonga sasa shida iko wapi.
Namna navyotazama mpira na kuutafsiri kama mchezo nitofauti kabisa na wewe mkuu.
Naheshimu mawazo yako
 
Back
Top Bottom