NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,802
- 4,391
Droo 2 tu mmeshakimbia na jukwaa mkiikosa top 4 si mtajipiga life banLeta hoja tu discuss....inaonekana msimu huu hatutakiwi kufungwa maana tume draw tu walimwengu mmetushukia kwlikwliš¤ š¤ š¤ ....Man U naangalia ratiba yenu nione ni wiki gani mtaanza kumtukana bwana Rashidi Makame tena kwa ubinafsi wakeš¤ š¤ š¤ ....