Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,544
- 6,494
Joginho qumamake zake
Angemtoa Nketiah halafu Jesus akarudi kati then nelson acheze pembeni....na Saka angemtoa hata dk ya 80 then ESR akaingia...maana jamaa ni baller hasa....anyway tuombe mpk mwezi wa 10 tutakapokutana na yake majamaa yenye roho mbaya tuwe na kikosi full fit...vngnevyo yule sijui Foden na Alvarez wale washenzi watatuvuruga sana pale kati.... Jorginho atageuzwa mpk aombe kutolewaKwa kuwa Rice hayuko fit ndo amtoe mapumziko?
Huyo Nketiah kafanya nini kipindi cha kwanza chote.
Tukiwa kamili na kile kikosi cha kwanza chte....we have a chance ila hiki kiungo cha Jorginho hakyanani tutaomba mpira uisheKuna wenzio wanasema rodri suspended bernado kdb wameumia kwaio ni mtelezo tu
Yuo dont have to beat pep's players you have to beat his tactics
Wanabebwaje...hebu elezea....ile penalty kwani kanuni zinasemaje mchezaji ukiwa una defend kwny boksi....kwnini huwa watu wanaficha mikono nyuma...au mlitakaje yaaniNa marefa wanaibeba Arsenal,nimegundua kitu leo kikubwa sn kuhusu mechi za Arsenal
Na city nayo ikiwa kamili jee tuseme mpo full fit squad na city wako full fit squad aisee city ni dimension nyengine waleTukiwa kamili na kile kikosi cha kwanza chte....we have a chance ila hiki kiungo cha Jorginho hakyanani tutaomba mpira uishe

Masingeli anakwambia Jojinyo leo ndio MoM, vipi Kai Harvez leo alikua ananyumbulika kama kawaida yake?Kwa ambao hawajaangalia mpira kabisa, kwa kifupi leo tulikua ugenini!
Spurs walikua better team mwanzo hadi mwisho wa mechi. Ile sharpness!
Na nadiriki kusema walistahili kuondoka na point zote 3.





Last season kawapiga aggregate ya (7-2)Tukiwa kamili na kile kikosi cha kwanza chte....we have a chance ila hiki kiungo cha Jorginho hakyanani tutaomba mpira uishe
Dah mkuu huu ujasiri unautoa wapi?Sasa unashindwa kumfunga Spurs halafu uutake ubingwa.
Game week 6 droo 2 bado hujacheza na City, Liverpool, Newcastle, Brighton. Amkeni nyie mwaka huu hamna ubavu wa kugombania ubingwa.
Ndiyo umegundua leo hii ni mbeleko FC last season kuna mechi imeisha kabisa refa hamalizi mpira mpaka Arsenal arudishe goli.Na marefa wanaibeba Arsenal,nimegundua kitu leo kikubwa sn kuhusu mechi za Arsenal
Hawa top four yao,, ila sio ubingwa.Sasa unashindwa kumfunga Spurs halafu uutake ubingwa.
Game week 6 droo 2 bado hujacheza na City, Liverpool, Newcastle, Brighton. Amkeni nyie mwaka huu hamna ubavu wa kugombania ubingwa.
Arteta aache u genius.He still has alot to learn.Siwezi kusema Havertz kacheza vibaya, ila kuna muda una matarajio nae at the end anaku-disappoint.
Ana mwili mkubwa lakini bado anakosa physicality.
Kuna muda anapewa mpira pembeni lakini unakosa kabisa matumaini kama atafanya jambo la maana.
Mimi nitaendelea kulia na Arteta tu! Anajikuta ni genius kumbe hamna kitu.
Huna timu ya kugombania ubingwa pambaneni kupata top 4😂Dah mkuu huu ujasiri unautoa wapi?
Hahaa very funny.Hawa top four yao,, ila sio ubingwa.
Na tim za msimu huu sio mbovu kama msimu uliopita
Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyoNa city nayo ikiwa kamili jee tuseme mpo full fit squad na city wako full fit squad aisee city ni dimension nyengine wale
They are regarded as the best team right now for a reason na wengi wanaojua mpira wanalijua hilo ila still mtakuwa na something to prove mkiwa full fit![]()